Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ni sababu zipi za msingi zinapolekea wachezaji wetu kushindwa kununuliwa na vilabu vyengine huku vilabu vyengine mfano liverpool na chelsea kiupande wao inakuwa ni rahisi kufanya hivyo?
Kwa uono wangu mdogo kwenye hili,Diogo Dalot,Andreas Perreira,Tahit Chong,Marcos Rojo na Angel Gomez (baadhi wameishauzika) ni baadhi ya wachezaji wa united ambao tunaona buyers wako tayari kukaa mezani kukubaliana bei sahihi ili biashara ifanyike.

Kundi la pili ni Lingard,Jones,De Gea,Baily,Martial.etc hili kundi linaponzwa na mishahara mikubwa,majeruhi ya mara kwa mara pamoja na kupaishwa kuliko uhalisia wa ubora wao hivyo wanunuaji wanakimbia.
 
1626817220583.png
 
Pia camavinga bado sana kuweza kutusaidia kutafuta mataji..

Tunahitaji DM aliyekamilika..still to young and not good enough to man u.
Kwani hii Man united na Arse8 kwa sasa kuna tofauti? Kwani hii Man united kwa sasa bado ni timu kubwa?
 
Mafanikio makubwa ya Ole ni msimu ulioisha kaifikisha manure fainali ya Europa. Kushika nafasi ya pili isiwape kiburi na kuona ninyi bado ni timu kubwa, hapana. Kwa sasa manure ni timu ya kawaida sana ukubwa wake umeporomoka kutokana na kutoleta ushindani "wowote ule wa maana" kwenye ubebaji wa vikombe. Hii timu kwa sasa ni kama Everton tu au Aston villa maana hara na zenyewe zikikaza zinaweza kuishika nafasi ya pili pia. Kwa sasa tukubaliane na ukweli manure ni brand inayozidi kupoteza mvuto, na ndio maana kiwango cha mashabiki wapya kwa hii bado kipo chini. Nina uhakika tangu kuondoka kwa Alex Furgie kiwango cha mashabiki kimeongezeka kidogo sana au kipo pale pale au kimepungua maana tangu wakati huo hadi Leo hii timu haijafanya "lolote lile la maana." Na kuibuka kwa Man City nina uhakika kumepunguza kiwango kikubwa cha mashabiki maana wengi ambai walikuwa ni watoto wamekuwa sasa na wamekuta man city inafanya vizuri ivyo wameenda huko.
Timu zilizoongeza mashabiki katikati hapa nina uhakika no Liverpool, Man City, Chelsea ..hizi nyingine kama Spurs, Manure, Arse8 nina uhakika mashabiki wamepungua au wako pale pale.
 
Mkuu wale mashoga wanaokusumbua PM ulimalizana nao?
 
Dili la Sancho bhana , mwaka jana limechukua msimu mzima na halikukamilika

Msimu huu, lilionekana kukamilika mapema lakini mpaka muda huu halijatangazwa

Note: Concern yangu, kwa miaka ya karibuni United imekuwa ikishughulikia dili mpaka likamilike ndio iende kwenye dili lingine. Kuna uwezekano wa dili la Varane kuchelewa zaidi
 
Mkuu nafikiri deal la Sancho kinachochelewesha ni ile kukosa penalty na kushambuliwa kwenye mitandao so nafikiri wanasubiri upepo upite ili kiuchumi deal likitangazwa basi mauzo ya jezi yawe mengi.....ni business strategy tu mbona viongoz wawili wa BVB walisema deal lishakamilika tayari kwa upande wao week lililopita
 
Wanazingua mkuu

Watu wenye kisirani na Sancho unakuta hata hawafiki 1000 tena pengine zaidi ya nusu yao sio mashabiki wa United, sasa shida ipo wapi
 
Naomba kutajiwa wachezaji watano waliotoka ligi kuu ya Ufaransa walioendelea kuonyesha kiwango bora ndani ya premier league
  1. Fabinho
  1. Michael Essien, Lyon to Chelsea
  2. Petr Cech, Rennes to Chelsea
  3. Eden Hazard, Lille to Chelsea
  4. William Gallas, Marseille to Chelsea
  5. Lassana Diarra, Le Havre to Chelsea
 
Back
Top Bottom