Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

habari za usiku huu ndio hizi, labda bwana wakala anataka kuitumia manchester united kwa dhumuni la kuramba dili kubwa
1626634262227.png
 
Jana niliona taarifa Twitter kwenye ukurasa wa United we Stand ikisema kuwa United wamekubaliana na Atletico kumnunua Trippier kwa Euro Milion 20.
Mwingereza huyu tena, Waingereza siyo wa kuaminika, hawajui. Watueletee Chiesa, waachane na Sancho na hao blaa laa wengine
 
Mwingereza huyu tena, Waingereza siyo wa kuaminika, hawajui. Watueletee Chiesa, waachane na Sancho na hao blaa laa wengine
Tupe stats za Chiesa na Sancho msimu huu kaka.......

Kwasababu Chiesa amewika Euro basi tumnunue chiesa kweli? Mbona Juve hana balaa lolote? Anastats za kawaida sana......
 
Naomba kutajiwa wachezaji watano waliotoka ligi kuu ya Ufaransa walioendelea kuonyesha kiwango bora ndani ya premier league
  1. Fabinho
 
Back
Top Bottom