Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna yoyote amemfuatilia vizuri Joakim Mahle wa Denmark kwenye Euro ?

Namuona jamaa ni bora mara mia kuliko Kierian Trippier halafu ana miaka 24 tu.

Jamaa ni mrefu na anaspeed safi anapanda sana kushambulia lakini pia anafanya tackles nyingi.
 
Huyu Veteran atakuwa na msaada wowote kwenye rebuild yetu ?

Hasa ukizingatia Diogo Dalot amerejea kikosini pamoja na Wan Bissaka, na Brandon William hajaondolewa
 
Yupo vizuri kwa kiasi chake..nilimuona nikasema beki huyu ana kasi sana.
 
Huyu Veteran atakuwa na msaada wowote kwenye rebuild yetu ?

Hasa ukizingatia Diogo Dalot amerejea kikosini pamoja na Wan Bissaka, na Brandon William hajaondolewa
Atakuwa na msaada ndio..ishu ni bei tu atakayokuja nayo.sio anakuja kwa pricetag ya £50m
 
Kuna yoyote amemfuatilia vizuri Joakim Mahle wa Denmark kwenye Euro ?

Namuona jamaa ni bora mara mia kuliko Kierian Trippier halafu ana miaka 24 tu.

Jamaa ni mrefu na anaspeed safi anapanda sana kushambulia lakini pia anafanya tackles nyingi.
Kuna ile beki ya kulia ya Uholanzi pia. Alinikosha sana yule dogo.
 
Atakuwa na msaada ndio..ishu ni bei tu atakayokuja nayo.sio anakuja kwa pricetag ya £50m
Sioni kama Trippier kwa umri wake kama atatuongezea chochote kwenye rebuild yetu.

Wakati wa Mourinho tulisajili wachezaji wengi sana wenye umri mkubwa matokeo yake kikosi ndani ya msimu mmoja kikawa hoi.

Sasa hivi tunawazee hawa.
1 Juan Mata
2. Matic
3. Phil Jones
4. Bailly
5. Lee Grant
6. Tom Heaton
7. Cavani

Huyu Trippier ana muda gani wa kukaa kikosini akiwa kwenye top form ?
 
Bailly af sio mzee kihivo sema tu injuries..

Lakini kwani mkuu tunataka 100pc upgrade ya AWB au nini?yaani mtu wa kumtupa AWB benchi mazima..if that the case uko sawa..
 
Hakuna mchezaji kijana mwenye kupata injury mfululizo miaka mitano na kila injury anakaa mwaka mzima hospitalini.

Halafu injury za Bailly huwa zinapatikana wapi ukiondoa ile ya mwanzo ya goti ?

Bailly na Phil Jones ni mtu na mdogo wake sema huyu mwingine baba yake mweusi na huyu mwingine baba ni mweupe
 
Bailly af sio mzee kihivo sema tu injuries..

Lakini kwani mkuu tunataka 100pc upgrade ya AWB au nini?yaani mtu wa kumtupa AWB benchi mazima..if that the case uko sawa..
Sasa tutakuwa tunatafuta fullback wa nini kama hatujaona kuwa Bissaka ameshindwa kufikia matarajio yetu ?
 
Mimi naweza kusema kuwa AWB amecheza poa tu na naweza kumpa asilimia 75.shida ni kwenda mbele ambapo pia nadhani ni kwa sababu ya kukosa overlaping wing mzuri huo upande...naamini Sancho atabadilisha mambo.

Kumpata beki anayeweza kukaba na kuwaweka mfukoni mawinga machachari kama AWB na pia awe na uwezo mkubwa wa kushambulia sio kazi ndogo..lazima tu tucompromise kimoja kwa asilimia fulani na huo uwekezaji inabidi uwe massive sio huu ambao tunataka kuufanya..huu ni wakumpa changamoto tu kama ilivyo Telles kwa Shaw.
 
Sijasema kuwa amefeli kutupa tunachokitaka ila kwa uchezaji upande wetu wa kulia utaendelea kuwa wa kawaida sana bila modern fullback labda Bissaka abadilike sana msimu huu.

Hope umeona hata Southgate amemwacha kwa sababu ya mapungufu yake hayo.
 
Back
Top Bottom