Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jesse Lingard nilitegemea tuwe tushamuuza na kuvuta chetu..utashangaa tunamtoa tena kwa mkopo..what the hell is going on..timu hazina mpunga au nini?..hawa wachezaji wetu hata kwa mafungu hawauziki?.

✓Perreira
✓Dalot***
✓Lingard
✓Tuanzebe
✓Chong
✓Jones
✓James

Hawa inabidi waondoke completely maana future yao hapa United haipo kabisa as things stends..Labla kidogo Dalot.
 
Yaani mkuu umtoe dalot umwache beily?

Beiliy ni wa kuuza..
 
Sijasema kuwa amefeli kutupa tunachokitaka ila kwa uchezaji upande wetu wa kulia utaendelea kuwa wa kawaida sana bila modern fullback labda Bissaka abadilike sana msimu huu.

Hope umeona hata Southgate amemwacha kwa sababu ya mapungufu yake hayo.
Sijui kwa nn watu wanam underrate huyu jamaa,kwangu mm naona Ni mchezaji aliefanya Bora Sana kwenye nafasi yake na katika kiwango kile kile, amekuwa akijituma muda wote,licha ya kukaba lakini amesaidia Sana kwenye mashambulizi,cross nyingi..

Kwangu mm bissaka anastahili kuwepo kwenye 1st 11 ya man u

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Katika kikosi cha Sir Alex Ferguson aliwahi kuwa na mabeki wa kulia watatu.
West Brown
Garry Nevile
John Oshea.
Baadae akaongezeka Rafael Da Silva na Mwenzake.

Katika kikosi chetu beki wa kulia wa uhakika tunae mmoja tu nae ni Wan Bissaka.

Pale Man City kulia pekee wanae
Joao Cancelo
Kyle Walker
Benjamin Mendy anayecheza pande zote

Katika hali ya kawaida eneo la kulia kwenye timu yetu linahitaji kuimarishwa kuanzia fullback mpaka wings
 
Unaweza kucheza 4-3-3 na bado ikawa ni kupaki tu basi..4-3-3 doesn't necessarily mean attack attack attack.
4-3-3 ni lazima ushambulie mkuu, DM 1 viungo wa kushambulia 2 mbele,, wings zote pembeni na striker wa nguvu..

Lazima apigwe mtu
 
Back
Top Bottom