Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1626345760074.png
 
kila msimu tunaimplement mfumo mpya wa kiuchezaji, hii 4-3-3 ndio alioanza nayo mechi zake 10 za mwanzo baada ya kukabidhiwa timu akiwa interim.

1626421552114.png
 
When do our players return to training? (Donny is still recovering from groin injury and no mention of Martial)
View attachment 1855629
Gharama za euro 2020 zimeanza.
Kama sijakosea sana arsenal hakuwa na wachezaji wengi kwenye hii michuano hivyo anaweza kutumia nafasi vizuri kujiweka sawa kabla top 6 wengine hawajachangamka kwenye ligi.
 
Madrid barca zimefilisika

Vilabu vya epl ni lini vitafilisika??
Vinajitutumua tu lakini yawezekana Vilabu vya epl vinapata mzigo mkubwa kwingineko.

Ila kwa mwelekeo wa United sijui huko mbele ya safari labda kwa sababu corona inaelekea ukingoni
 
Back
Top Bottom