Kwani hawakupata medali?Jumla ya wachezaji wote wa Man United kwenye timu za taifa wametoka patupu.
Pogba patupu
Magwaya patupu
Sachonka patupu
Rashidi patupu
Luka shoo holaa
Bissaka holaa
Fred holaa
Mctommary hola
Na wale majirani zenu Man Shityee
At least Chelsea tumepata
Joghihno
Emerson
Hehehe #CFC![]()
Ubora gani waliowazidi Italy mkuu? Ebu jaribu ku-analyse mchezaji mmojammoja wa Uingereza against ItalySouthgate ni msenge sana. Una wachezaji wazuri ila kawakalisha mbao, kwa aina ya ubora wa kikosi cha Uingereza dhidi ya Italy hawakupaswa hata kufika matuta.
angalau kilio cha mashabiki kimesikika, ni matumaini yangu tutaimprove na kupunguza kabisa kufungwa magoli ya setpiece
-------------------------------------------
Manchester United have hired Eric Ramsay to be their new set-piece coach.
We've been fortunate enough to convince Eric Ramsay to come and join the best club in the world and in the country,” Ole told club media at Carrington on Monday. “He’s a very highly rated coach who is going to be working with individuals and in charge of set-plays as well.
“We’re excited. He’s young, fresh and with new ideas, an innovative coach we know from before. Kieran [McKenna] knows him really well from Loughborough, so we’re very pleased with that.”
View attachment 1850894
Umepigwa nini, miti?SANCHOKA tumepigwa jamani



Mkuu Punguza hasira, ama inauma? Kama inauma Kalia chupa.
Umepigwa nini, miti?
ninachofurahia ni kuona klabu imeamua kufanyia kazi positively tatizo lililopo, msimu uliopita timu ilishika nafasi ya kwanza kwa kuruhusu magoli ya set piece (kama nitakuwa sahihi tumeruhusu 23% ya magoli kwa set piece).Hakuna kitu hapa








Hii dunia imehakikisha man utd na wachezaji wake hawapati kombe hata moja![]()




Kwani Rojo vipi kule AjentinaHii dunia imehakikisha man utd na wachezaji wake hawapati kombe hata moja![]()
Lauren James ameachana na kikosi cha Casey Stone na sasa atajiunga na Club ya Chelsea anayocheza kaka yake Reece James.
Alikuwa ni mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Casey Stone lakini hakuna jinsi Chelsea wamefanikiwa kumshawishi kujiunga nao.