Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwahy kwa majina unaitwa Sanchoka.?

Sanchoka: Ndio boss, Sanchoka Bin Mwanyumbu
 
Unawaacha wachezaji wa City na Chelsea nje, unaingiza matakataka yaliyogombana na makombe halafu inategemea wakuletee kombe. Hili kocha la uingereza hovyo kweli
 
Arguably, the best left back in the world right now
InShot_20210712_201756039.jpg
 
Attachments

  • E6CaraKWEAM__DY.jpg
    E6CaraKWEAM__DY.jpg
    96.7 KB · Views: 4
Phil Foden angefaa zaidi kucheza ule mchezo dhidi ya Bukayo Saka.

Pia Jadon Sancho angefaa kuingia mapema nafasi ya Raheem Sterling.

Sikuona umuhimu kuanza na Kieren Trippier mbele ya Jack Grealish. Ni kama aliingia na defensive mentality.
1.Phil Foden alipata majeraha mazoezini hivyo hakuwa fit.

2. Alianza na Kierian Trippier ili kumtumia Walker kwenye back 3.

3. Kumtoa Sterling kungepunguza threat sana kwa Italy kwa sababu Sterling kwenye mashindano haya amekuwa bora sana kwenye kikosi cha England ndiyo mwenye magoli mengi kuliko wengine.

4. Alimwingiza Bukayo Saka kwa sababu Saka ni mzuri defensively kuliko Sancho na Rashford, kumbuka Bukayo huwa anacheza kama wingback pale Arsenal na hata kwenye mashindano haya amekuwa vizuri pia.

5. Wachezaji ambao jana hawakuwa mchezoni sana ni Mason Mount pamoja na Declan Rice walichoka mapema sana.

6 alitakiwa amtoe mapema Mason Mount aingie Grealish then Sancho angekuja baadae sana.

All in all makosa makubwa aliyoyafanya Southgate ni selection ya wapiga penalty alichagua wachezaji wawili ambao hawakuwa mchezoni kabisa ni heri angempa penalty ya tatu Grealish kisha zingine ndiyo akabeti.
1. Jack Grealish anacheza deadball zote Aston Villa.
2. Jordan Henderson anacheza deadball nyingi tu pale Liverpool

3. Kierian Trippier ni deadball specialist mzuri tu.

4. Luke Shaw pia anapiga deadball vizuri tu.

5. Harry Kane halikadhalika.

Sema kwenye mchezo wa jana huenda wengine waligoma kwenda kupiga huwezi jua.

Yawezekana pia Gareth Southgate hakujiandaa kwa matuta ndiyo maana aliamua kubeti dakika za mwisho kwa kuwaingiza Rashford na Sancho.

NB kukosa penalty ni jambo la kawaida mashindanoni.
 
angalau kilio cha mashabiki kimesikika, ni matumaini yangu tutaimprove na kupunguza kabisa kufungwa magoli ya setpiece
-------------------------------------------
Manchester United have hired Eric Ramsay to be their new set-piece coach.
We've been fortunate enough to convince Eric Ramsay to come and join the best club in the world and in the country,” Ole told club media at Carrington on Monday. “He’s a very highly rated coach who is going to be working with individuals and in charge of set-plays as well.

“We’re excited. He’s young, fresh and with new ideas, an innovative coach we know from before. Kieran [McKenna] knows him really well from Loughborough, so we’re very pleased with that.”
1626116016488.png
 
View attachment 1850894
Misimu miwili iliyopita sisi kupata kona ilikuwa sawa na kupoteza muda maana haikuwa na msaada wowote.

Vile vile kupigiwa kona ilikuwa half a goal mpaka alipokuja Maguire angalau tukaimprove.

Ila tatizo hilo hata England lilikuwepo wachezaji waliokuwa vizur kucheza kona ni Maguire na Jonstones wengine walikuwa wasindikizaji tu.
 
Back
Top Bottom