Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sachonka Kama Sachonka na bishoo mwenzake Rashidi Makame wanakosa penati na kuinyima England ubingwa..

Wachezaji weupe Kane na Magwaya wameondoa lawama Hawa wamatumbi wenzetu Wana Nini?
 
Jumla ya wachezaji wote wa Man United kwenye timu za taifa wametoka patupu.

Pogba patupu
Magwaya patupu
Sachonka patupu
Rashidi patupu
Luka shoo holaa
Bissaka holaa
Fred holaa
Mctommary hola

Na wale majirani zenu Man Shityee

At least Chelsea tumepata
Joghihno
Emerson

Hehehe #CFC
 
Sachonka Kama Sachonka na bishop mwenzake Rashidi Makame wanakosa penati na kuinyima England ubingwa..

Wachezaji weupe Kane na Magwaya wameondoa lawama Hawa wamatumbi wenzetu Wana Nini?
Michezaji yote meusi imekosa penalt, halafu wakiitwa weusi wanalalamika wanabaguliwa.
 
Hapa hamna timu
Inst-image-26.jpeg
 
Back
Top Bottom