Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siyo kila kocha atatumia double pivot ila unachotakiwa kujua mfumo uwanjani mwalimu ndiyo anachagua atumie mfumo kulingana na jinsi anavyotaka timu yake icheze vipi.

Old managers hawakuwa watumiaji wa double pivot kwa sababu double 4 2 3 1 ni mfumo ambao umeibuka recently.
Ndy mwisho wa siku kocha anatupiwa virago.na kufukuzwa.
Sio kila mfumo ni wa kuutumia na kupata matokeo mazuri..
 
Wa kuwalisha mipira yupo Bruno Fernandes na Paul Pogba
Ukumbuke akiwepo Sancho na rashford wings.
Bruno na pogba wakicheza pamoja,,
hatutakuwa na uwezo wa kuchezesha double DM.

Lazima acheze DM mmoja tu..

Hapo utakuwa umeelewa point yangu.

Kaletwa Sancho ili turudi ktk mfumo wa attacking zaidi.
DM mmoja ambaye either camaving au Fred. Au Mac Tommy..
Hawawezi kucheza wote kwa pamoja.
 
Martial msimu huu kacheza mechi ngapi ?
Kama unakumbukumbu vzr nadhani pia tulishawahi kubishana kuhusu uwezo wa martial na kuletwa Cavan wakati bado yupo PSG..

Uliongoza kundi la kunipinga na kuhoji uwezo wa Cavan,
Ukaja na statistics za magazeti kuhusu martial.
Na kumponda Cavan.
Mwisho wa msimu imejulikana striker ni nani na starter ni nani..
 
Ukumbuke akiwepo Sancho na rashford wings.
Bruno na pogba wakicheza pamoja,,
hatutakuwa na uwezo wa kuchezesha double DM.

Lazima acheze DM mmoja tu..

Hapo utakuwa umeelewa point yangu.

Kaletwa Sancho ili turudi ktk mfumo wa attacking zaidi.
DM mmoja ambaye either camaving au Fred. Au Mac Tommy..
Hawawezi kucheza wote kwa pamoja.
Kwn camavinga keshakuja?
 
Yawezekana hauelewi hata hiyo 4 2 3 1 inavyofanya kazi.

Kwa sasa huo mfumo utafanya kazi kwa usahihi zaidi kwa sababu timu itabalance kila upande
 
Kama unakumbukumbu vzr nadhani pia tulishawahi kubishana kuhusu uwezo wa martial na kuletwa Cavan wakati bado yupo PSG..

Uliongoza kundi la kunipinga na kuhoji uwezo wa Cavan,
Ukaja na statistics za magazeti kuhusu martial.
Na kumponda Cavan.
Mwisho wa msimu imejulikana striker ni nani na starter ni nani..
Sijawahi kumponda Cavani ila haimanishi kuwa Danny Ings ni bora kuliko Martial
 
Yawezekana hauelewi hata hiyo 4 2 3 1 inavyofanya kazi.

Kwa sasa huo mfumo utafanya kazi kwa usahihi zaidi kwa sababu timu itabalance kila upande
Hebu nipangie kikosi hapa jamvini akiwemo Sancho,rashford pogba ,Fernandez na double DM pamoja kama wachezaji hawatokuwa 12..
 
Ndiyo maana nimekwambia huelewi unachokiongelea.

Mechi zote ambazo Paul Pogba ameanza tumecheza 4 4 2 Diamond.

Na mechi ambazo Scot na Fred na Bruno zote tunacheza 4 2 3 1.

Kama ulifuatilia vizuri jambo ambalo nina wasi wasi nalo kama huwa unafuatilia mechi zote za UEFA Ole alitumia 4 4 2 diamond.

Na mechi nyingi za FA pia alitumia 4 4 2 diamond isipokuwa tu alipokuwa anakutana na timu dhaifu sana.
 
Kwahiyo kwenye hiyo list uliyoitaja tukitumia double pivot mmoja kati ya Pogba au Bruno lazima awe benchi.
Kama Sancho na rashford wakicheza ni lazima attacking midifilder mmoja awe benchi..

Nimekwambiya nipe kikosi wakiwemo wote hao na double DM pamoja?
 
Ndiyo maana nimekwambia huelewi unachokiongelea.

Mechi zote ambazo Paul Pogba ameanza tumecheza 4 4 2 Diamond.

Na mechi ambazo Scot na Fred na Bruno zote tunacheza 4 2 3 1.

Kama ulifuatilia vizuri jambo ambalo nina wasi wasi nalo kama huwa unafuatilia mechi zote za UEFA Ole alitumia 4 4 2 diamond.

Na mechi nyingi za FA pia alitumia 4 4 2 diamond isipokuwa tu alipokuwa anakutana na timu dhaifu sana.
Sancho alikuwapo!? Nipe kikosi Sancho na rashford wapo..
Pogba na Fernandez.
Na Fred ,Mac Tommy..

Niletee kikosi hapa usiniletee formula
 
Kama Sancho na rashford wakicheza ni lazima attacking midifilder mmoja awe benchi..

Nimekwambiya nipe kikosi wakiwemo wote hao na double DM pamoja?
Kama unataka wawepo attacking midfielders wote wa united panga cha kwako.

Ila kwa 4 2 3 1 ya Ole kikosi kitakuwa hivi.

Cavan/ Martial
Rashford Bruno Sancho

Fred/ Matic Scot/Pogba/ James Garner

Shaw/ Alex Maguire Lindelof Bissaka/ Tripier.

Henderson/De Gea.

Hiyo ndiyo 4 2 3 1 ya Ole.
 
Back
Top Bottom