HahahahaaNi bora huyo anayepiga vichwa kuliko kutegemea striker anayepiga kichwa huku kafumba macho..
HahahahaaNi bora huyo anayepiga vichwa kuliko kutegemea striker anayepiga kichwa huku kafumba macho..
Si Mimi pekee hata maskauti wa man u wameliona hilo.Cognitive dissonance (inconsistent thoughts). Kuna mahala ulisema tumlete Danny Ings.
Inategemea na watu waliopo mbele .Gareth Southgate anatumia double pivot je Uingereza ina mapungufu kwenye defence ?
Kitu kinachofanya Manchester United isiwe inasajili wachezaji wa maana kwa miaka hii ya karibuni ni Ed Woodward aliboronga ktk mishahara. Kwa mwaka timu ina uwezo wa kulipa £200M tu. Msimu uliopita tulitumia £183M sasa hapa muongezee na Jadon Sancho. Je, unafikiri tunaweza kuongeza jina lingine zito?Kila mwaka city ananunuwa wachezaji si chini ya 4.
Tena watu na nusu na robo..
Mfano bila cavani man u tungekuwa nafasi ya ngapi?
Mfano tungewategemea hao mnaowaita striker.
Martial na greenwood pekee?
PSG huwa anatumia double pivot pia wanadefence dhaifu?Inategemea na watu waliopo mbele .
Pia inategemea na hao DM ni waliopo wana ubora kwa kiasi gani?
Kwa man u Fred na tommy wameshindwa kutuletea matokeo chanya.
Kumbuka kucheza double DM ni kujilinda zaidi.
Tunahitaji DM Mwenye uwezo wa kuhamisha mipira upande kwa upande,, na sio box to box..
Kama hutokuwa na watu wenye kasi na ubora up front .
Ushindi ni finyu.
Kwani Striker lazima afunge kwa kichwa ?Martial,, greenwood tutarudi kule kule zama za nafasi ya 6.
Striker gani hafungi kwa kichwa?
Tafuta striker za kazi mfano wa cavani..
Tufunge biashara mapema,,vinginevyo city atatuburuza maisha.
Kuna udaku unasema ings amewachomolea saints kusaini mkataba wa miaka 4 kuendelea kukipiga pale. Huenda anakuja nyumbani.Si Mimi pekee hata maskauti wa man u wameliona hilo.
Tunahitaji striker back up wa cavani... Mviziaji kama yeye..
Ings ametajwa sana tu..ni jambo la muda.
hahahahahahaaaaMkuu Daemushin kuna camavinga halafu kuna camavinga wa you tube?
subiria suprise za ajabu ajabu, yakumbuke haya majinaKuna udaku unasema ings amewachomolea saints kusaini mkataba wa miaka 4 kuendelea kukipiga pale. Huenda anakuja nyumbani.
Tusubiri mwisho wa msimu
De Gea ni muda sasa atuache..david de gea anachangia kwa kiasi kikubwa sana kufungwa mipira ya kona na krosi.
total action ni 8.
dah aibu
View attachment 1842599
Ni kwl mkuu,,man u inasaka sign ya ings kimya kimya.Kuna udaku unasema ings amewachomolea saints kusaini mkataba wa miaka 4 kuendelea kukipiga pale. Huenda anakuja nyumbani.
Tusubiri mwisho wa msimu
Hiyo dogo ni type ya dialo,,hahahahahahaaaa
huyo bwana mdogo sijawahi kumuona akicheza, mchana wa leo nilipoteza muda mwingi sana kumuangalia video zake pale youtube.
- ana miguu ya fred
- ufundi wa moussa dembele yule wa tottenham (press resistant midfield)
- afya yake inanipa wasiwasi
maswali ya kujiuliza:
hivi Ole yupo tayari kweli kuachana na double pivot yake?
camavinga huyu na miaka yake 18 anaweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza kwa kumuondoa mctominay, nimeangalia video ya uchambuzi fulani wanasema huyu dogo hucheza vizuri zaidi upande wa kulia na tusisahau huo upande unamilikiwa na scott.
camavinga ni mchezaji wa kikosi cha kwanza au ni backup?