Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Wameanza timu ya media
Kwann harry Kane hatuwezi kumsajili?Harry Kane hatuwezi kumsajili..
Hapo labda Varane na we will call it a summer.
Nimekuwa realistic tu..Bei yake..Dan Levy mgumu sana..na sidhani kama tumetenga zaidi £270m za usajili summer hii.Kwann harry Kane hatuwezi kumsajili?
Pogba to PSG?..usajili wa jadon sancho hauwezi kuathiri nguvu yetu ya usajili msimu huu, sancho atasaini mkataba wa miaka 5 na kwa mujibu wa makubaliano kati ya timu mbili husika borussia watapokea takribani paundi millioni 15 kwa kila mwaka.
tusisahau msimu uliopita thamani ya sancho ilifikia euro millioni 100 hadi millioni 120, uvumilivu wa mwaka mmoja umepelekea thamani ya sancho ipungue mpaka kufikiria euro millioni 85.
wanaosema tumefanya biashara kichaa wajitathmini, kwa miaka 8 sasa hatujawahi kushuhudia biashara mfano wa hii.
ukija kwa upande wa camavinga wenyewe wamemrate thamani ya euro millioni 100 lakini kwa mujibu wa taarifa za jana ofa ya kwanza inayotarajiwa kuambatanishwa ni euro millioni 30 tu.
real madrid wanataka euro millioni 60 hadi 70 kwa rafael varane lakini klabu haina nia ya kuvuka euro millioni 40.
tuendeleee kutafuna kachumbari, nyama zipo chini.
ni Central midfielder kama Pogba tu mkuu japo anajitahidi sana kutimiza majukumu ya kukaba.....kwani huyu anacheza 6View attachment 1841742
usajili wa camavinga hauhusiani na mkataba wa pogba ila kama paul atakataa kandarasi mpya ni bora auzwe kuliko kusubiria msimu ujao awe huruPogba to PSG?..
Ikija offer wewe kama wewe ungekubali kumtoa?
Hiyo game nimeitazama kwakweli hata mimi sijamuelewa, lakini siwezi kumuhukumu kwa mechi moja.Sanchoka tumepigwa, mechi na Ukraine alikua mzururaji tu uwanjani.
Hiyo game nimeitazama kwakweli hata mimi sijamuelewa, lakini siwezi kumuhukumu kwa mechi moja.





Hiyo game nimeitazama kwakweli hata mimi sijamuelewa, lakini siwezi kumuhukumu kwa mechi moja.
Umeanza kuingizia ujinga tukikupelekea moto usiseme unatukanwaSANCHOKA kama SANCHOKA