D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Usajili wa Eduardo Camavinga utakuwa ni taarifa rasmi za mkono wa kwaheri kwa Dylan Levitt, James Garner, Nemanja Matic na probably Paul Pogba kama ataendelea kukataa kuongeza mkatabayajayo yanaleta matumaini, huyo wa mbele ukimweka pamoja na huyo camavinga wa youtube mbona watu watautafuta.
Nenda youtube then andika james garner.
DM wa uhakika na huyo aliyenyooshewa mkono mtafute jina lake na position yake
View attachment 1842494
James Garner ni DM mzuri sana ila kwa umri wa Fred na Scott huenda maisha yake United yakawa magumu kidogo huko mbeleniyajayo yanaleta matumaini, huyo wa mbele ukimweka pamoja na huyo camavinga wa youtube mbona watu watautafuta.
Nenda youtube then andika james garner.
DM wa uhakika na huyo aliyenyooshewa mkono mtafute jina lake na position yake
View attachment 1842494
Ni.kwl lakini striker pia ni muhimu,,, sababu kwa sasa Cavan ndy tegemeo pekee up front.Nimekuwa realistic tu..Bei yake..Dan Levy mgumu sana..na sidhani kama tumetenga zaidi £270m za usajili summer hii.
Kumbuka tunahitaji CB na Kiungo pia.
Huyu anapaswa atafutiwe timu pale pale ligi kuu kwa mkopo anahitaji competitive playing time.Hanibal Mejbir anakuja kupambana na Bruno msimu ujao.
Namba tisa yupo Cavani+Greenwood+Martial.Ni.kwl lakini striker pia ni muhimu,,, sababu kwa sasa Cavan ndy tegemeo pekee up front.
Je akiumia itakuwaje?
Lazima awe na back up striker wa kubadilishana.
Hata Danny ings angetufaa kusogeza siku.
Kuliko kuingia next season bila back up striker.
James Garner hatari sana..yajayo yanaleta matumaini, huyo wa mbele ukimweka pamoja na huyo camavinga wa youtube mbona watu watautafuta.
Nenda youtube then andika james garner.
DM wa uhakika na huyo aliyenyooshewa mkono mtafute jina lake na position yake
View attachment 1842494
Chong karudi kundini?..Olooo,hauziki jamani?
Kama tunahitaji makombe toa wapuuzi wote. Ingiza wachezaji wenye akili.Mkuu unataka usajili timu nzima msimu mmoja tu?
Ndy huo muda akiwa karukwa na akili ana igharimu timu.Fred ni mtu sema kuna muda anacheza kama hatumii akili.
Anthony Martial yupo.Ni.kwl lakini striker pia ni muhimu,,, sababu kwa sasa Cavan ndy tegemeo pekee up front.
Je akiumia itakuwaje?
Lazima awe na back up striker wa kubadilishana.
C'mon! Acha mzaha Jombaa, Ings? Huyo sio aina ya mchezaji wa timu kubwa.Hata Danny ings angetufaa kusogeza siku.
Kuliko kuingia next season bila back up striker.
Gareth Southgate anatumia double pivot je Uingereza ina mapungufu kwenye defence ?Kama tunahitaji makombe toa wapuuzi wote. Ingiza wachezaji wenye akili.
Timu inahitaji maeneo 4 muhimu sana.
Wangalie city ,,ni timu bora lakini bado wananunuaa watu wa maana,
Sasa kama man u wataendelea kuingiza next season na mapungufu yake yale,
Basi ubingwa tusahau.
Back up striker... Ole ameshasema cavani atacheza 60% kutokana na umri wake.
Je hyo 40% atacheza nani kama striker?..
Center back..tukiendelea kuwategemea akina lindleof na beily basi ubingwa tusahau.
Defense mediflder.. Ni muhimu ili kubalance timu na tuwe attacking zaidi.
Kuendelea kutumia double DM ni kupunguza makali ya attacking..
DM ni muhimu sana ndy maana .
Timu inasaka DM wa maana ili kuachana na kucheza double DM.
Kwa timu yenye kusaka makombe kununuwa wachezaji wanne ni jambo la kawaida sana.
Kutokana na ushindani wa timu zilizopo.
Martial,, greenwood tutarudi kule kule zama za nafasi ya 6.Namba tisa yupo Cavani+Greenwood+Martial.
Though Ings pia angesaidia..Martial nadhani ni muda wa kumuondoa sasa
Nadhani mwakani baada ya Cavani kuondoka itabidi iwe proper time ya kupata World class number 9..na harakati hizo za kumpata huyo mtu zianze kuanzia nyakati hizi.
City haikujengwa msimu mmoja.Kama tunahitaji makombe toa wapuuzi wote. Ingiza wachezaji wenye akili.
Timu inahitaji maeneo 4 muhimu sana.
Wangalie city ,,ni timu bora lakini bado wananunuaa watu wa maana,
Sasa kama man u wataendelea kuingiza next season na mapungufu yake yale,
Basi ubingwa tusahau.
Back up striker... Ole ameshasema cavani atacheza 60% kutokana na umri wake.
Je hyo 40% atacheza nani kama striker?..
Center back..tukiendelea kuwategemea akina lindleof na beily basi ubingwa tusahau.
Defense mediflder.. Ni muhimu ili kubalance timu na tuwe attacking zaidi.
Kuendelea kutumia double DM ni kupunguza makali ya attacking..
DM ni muhimu sana ndy maana .
Timu inasaka DM wa maana ili kuachana na kucheza double DM.
Kwa timu yenye kusaka makombe kununuwa wachezaji wanne ni jambo la kawaida sana.
Kutokana na ushindani wa timu zilizopo.
Ni bora huyo anayepiga vichwa kuliko kutegemea striker anayepiga kichwa huku kafumba macho..Anthony Martial yupo.
C'mon! Acha mzaha Jombaa, Ings? Huyo sio aina ya mchezaji wa timu kubwa.
Ni kweli yule mtoto ni kipaji kikubwa sana anahitaji kuwa developed na watu sahihi kufikia potential aliyonayo.Huyu anapaswa atafutiwe timu pale pale ligi kuu kwa mkopo anahitaji competitive playing time.
Kila mwaka city ananunuwa wachezaji si chini ya 4.City haikujengwa msimu mmoja.
Cognitive dissonance (inconsistent thoughts). Kuna mahala ulisema tumlete Danny Ings.Kama tunahitaji makombe toa wapuuzi wote. Ingiza wachezaji wenye akili.