mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,363
- 21,441
Lipo jukwaa la yanga mkuu,,nenda katoe pongezi zako huko.Nje ya mada,,,,,,,,,,, Jamani wananchi leo wamenifurahisha.
Sifatilii ligi ya Bongo lakini likija swala la Simba vs Yanga lazima niache kazi zangu na kuifuatilia hiyo game.
Kwakweli Yanga naipenda mpaka kumoyo, sema soccer la kibongo ndio la kisenge.
Asanteni wananchi leo mumenifurahisha.

