hamna shida ni kama wale flops mliozoea wanunua miaka yote mzee....mmesahau shevshenko au mmesahau kepa pia huyo Kai kwa hela mlizonunua anavyocheza poleni wazee......vipi timo werner nae hamjawahi pata mchezaji mzuri mkitoa pesa zaidi ya 60 refer MorataSancho ni big flop kwa usajili huu
Morata ilikuwa ni kituko cha mwaka.hamna shida ni kama wale flops mliozoea wanunua miaka yote mzee....mmesahau shevshenko au mmesahau kepa pia huyo Kai kwa hela mlizonunua anavyocheza poleni wazee......vipi timo werner nae hamjawahi pata mchezaji mzuri mkitoa pesa zaidi ya 60 refer Morata
Lkn wamedeliver Kwa kutupa taji msimu uliopita.....nyie na kina Maguire mna kombe ganihamna shida ni kama wale flops mliozoea wanunua miaka yote mzee....mmesahau shevshenko au mmesahau kepa pia huyo Kai kwa hela mlizonunua anavyocheza poleni wazee......vipi timo werner nae hamjawahi pata mchezaji mzuri mkitoa pesa zaidi ya 60 refer Morata

Kama unakumbuka vizuri kiwango cha David Degea kilianza kushuka msimu wa 2017/18 na hata alipoenda world cup ali-perform hovyo sana.DeGea aondoke tu.
He's now too average au kocha anashindwa kumnoa vizuri.
Hivi Ole wakati anakuja alitimua hadi kocha wa makipa?
Na kama kuna kosa kubwa Ole anaweza kulifanya ni kuendelea na ujinga wa kutokujua yupi ni golikipa wake namba moja msimu ujao. Binafsi naamini Dean anahitaji kuaminiwa 100%, sioni kama David anaweza kurejea ubora wake.DeGea aondoke tu.
He's now too average au kocha anashindwa kumnoa vizuri.
Hivi Ole wakati anakuja alitimua hadi kocha wa makipa?
Objective ya kumuongeza mkataba ni ipi? Sioni kama Ole anaweza kumtumia. Ndiyo yale yale ya Odion Ighalo anasainiwa ila hatumiki.Balozi Juan Mata ameongezewa mkataba wa mwaka mmoja.
wanachezeaga hela hao kama issie ya Torres.....Morata ilikuwa ni kituko cha mwaka.
Team ya mashetwain ya kike
Man City hapaSio ajabu mnasajili wachezaji wa Euro mil 8 nyie hii inatokana na roho yenu ngoja Kroenke awanyoshe.....hovi mnacheza mashindano gani makubwa msimu ujao?.....
kwahela ya sancho tunaweza wanunua kina tavaresi na Okongasjui hata 30 kwaajili ya kutufyekea nyasi Old Trafford.....
Akisusa aondoke tumechoka naye.Atasusa tena kama ilivyokuwa kwa zlatan
Aende Arsenal au Liver atawafaa.Itakuwa wakti mzuri sasa wa yeye kwenda Westbrom huko..
Huyu mtoto cjui km mnamuangalia kwa jicho ninalomuangalia mm.Amad may go out on loan next season. Clubs have inquired but no decision has made been yet #mulive [
@lauriewhitwell]
Huyu dogo ni zaidi ya Greenwood amini kwamba japo namkubali sana Greenwood.Amad may go out on loan next season. Clubs have inquired but no decision has made been yet #mulive [
@lauriewhitwell]
Baadaye utasema wachezaji wabovu, we jamaa bhn.Tuache utani jamani OLE kichwani ni mweupe kabisa ,hana mbinu zozote za kisoka ,tatizo LA man utd sio wachezaji ,kocha ndio bomuu ...
Na mtakuja kusituka huu msimu umeisha ,na mtakukuwa hamna kombe lolote
Sancho
Varane
Hata wakija kocha kichwani ni mweupe haelewi kitu ,hana mbinu za ushindi kabisa ,anategemea uwezo wa wachezaji kudadekiii ...
Haya timu ina
Cavan
Pogba
Bruno
Vdb
Rashford
Mnataka mpewe wakina nan mpaka Muwe na kikosi cha kuchukua ubingwa ,
Ole mmepigwa
Ole ni Bomu
Ole hana mbinu
Ole sio class ya kumanage man utd
Ole level zake ni burnely huko
Ole hana analojua kuhusu football
Msimu wa tano bila kombe loading....![]()