D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Spain wameshamtengenezea mazingira ya kuwa goal keeper namba mbili kwa timu zote anazozitumikiaHahahahaa Degea hakuna timu inayoweza kumudu mshahara wake ($375k/weekly). Naamini ataleta instability eneo la golini msimu ujao, Ole atarudia ujinga wake wa kutokujua golikipa wake #1 ni yupi. Hii itawafanya wote wawili wawe wabovu zaidi watapoteza kujiamini wote.
upo uwezekano wa kupewa asilimia 30 tu za mechi msimu ujao
