Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Sacho ni lingard aliyechangamka tu media zimemkuza ...
Subili EPL ianzee uone alivomzitoo ,EPL itamkataa mapema sanaa
Subili EPL ianzee uone alivomzitoo ,EPL itamkataa mapema sanaa
Si anachezea Manchester United, akiwa mbovu wewe inakuuma nini?Sacho ni lingard aliyechangamka tu media zimemkuza ...
Subili EPL ianzee uone alivomzitoo ,EPL itamkataa mapema sanaa
Mara mia hili jini tulinunue tu....Nimeona pia Gorektza wa Munich ni target yetu endapo ishu ya Pogba kusalia OT itakuwa ngumu.
Tatizo mshaharaNawakumbusha tu.
Leonel Messi ni free agent.
Mzee unamihemko, hadi sio poa sasa Sacho ndio nani tena??Sacho ni lingard aliyechangamka tu media zimemkuza ...
Subili EPL ianzee uone alivomzitoo ,EPL itamkataa mapema sanaa
Mimi nachoona David De Gea aonyeshwe mlango wa kutokea siyo kwa sababu ya mshahara wake bali kwa kiwango chake kuporomoka mno.Tunaweza kum-offload Anthony Martial ($200k/weekly) pamoja na pesa tutakayoipata baada ya kumuuza hata kwa Pound 30M mahala popote tukaongezea ktk mshahara wa La Pulga. Nina uhakika hawezi kugoma kupokea $350k ~ $400k/weekly kwa mwaka mmoja.
Pia mchezaji mwingine anayepaswa kuonyeshwa mlango wa kutokea ni David Degea. Hatuwezi kuendelea kutumia zaidi ya $450k/weekly kwa magolipa wawili, Dean $100k, David $350k. Haki ya nani Ed Woodward alikuwa mjinga sana. Niliwahi kuandika hapa madhara ya kulipa mishahara mikubwa kizembe zembe bila kutizama mbali.
Tulipaswa kuwa na capped-salary policy hutaki ondoka. Hakuna mchezaji yeyote yule aliyepo Manchester United anaweza kupokea mshahara tunaomlipa sisi nje ya hii timu yetu. Tulikuwa na mtendaji mkuu boga sana.
Digea anatakiwa apate kocha anayejielewa, kaishakuwa predictable sana. haya maswala ya kutegemea uwezo wa wachezaji yanatucost sana.Mimi nachoona David De Gea aonyeshwe mlango wa kutokea siyo kwa sababu ya mshahara wake bali kwa kiwango chake kuporomoka mno.
Timu gani inaweza kumnunua de Gea kwa kipindi hiki?Mimi nachoona David De Gea aonyeshwe mlango wa kutokea siyo kwa sababu ya mshahara wake bali kwa kiwango chake kuporomoka mno.
upi ?Huu usajili mnaoufanya kiukweli unanitisha sana.
Hilo la kuuzwa mimi sijui ila tumuonyeshe Mlango wa kutokea tuTimu gani inaweza kumnunua de Gea kwa kipindi hiki?