Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We martial rudi kwenye ubora wako weee
IMG_0245.jpg
 
Ila Sancho sina imani naye to be frank. Ni wa kawaida but highly rated. Tungevunja bank kuwaleta Halland na Joao Felix
Joao Felix?? Mkuu upo serious au unatania? mtu ambaye hajawahi fikisha Goal & Assist 20 tuje tumjaribu kwetu.....Sancho namba zake zinambeba katika misimu 3 iliyopita anacontribution ya goal & assist 30+
 
Leon Goretzka Hawezi kutoka Bayern kwa sasa.
sportbild ndio wameripoti hiyo taarifa
kwa taarifa za ujerumani wapo vizuri sana, wasiwasi wangu upande wa wawakilishi wa goretzka huenda wanataka kuitumia manchester united kama ni daraja la kujiongezea maslahi.
mpaka sasa goretzka hajasaini mkataba mpya
 
sportbild ndio wameripoti hiyo taarifa
kwa taarifa za ujerumani wapo vizuri sana, wasiwasi wangu upande wa wawakilishi wa goretzka wanataka kuitumia manchester united kama ni daraja la kujiongezea maslahi.
mpaka sasa goretzka hajasaini mkataba mpya
Hivi Goretzka ni DM au ni CM mimi huwa namuona tu uwanjani ila sijui anacheza position ipi
 
Kwahiyo tutaachana na suala la kutafuta DM na kumuacha Pogba aende zake ?
klabu itafanya mazungumzo na upande wa pogba juu ya mkataba mpya ila kama itashindikana itawalazimu kutafuta mchezaji mwengine wa kuziba nafasi yake (pogba atauzwa)

suala la DM halihusiani kabisa na sakata la pogba, kama bajeti ya usajili wa DM ipo basi mchakato wa kutafuta mchezaji husika utaendelea.
 
Back
Top Bottom