mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,363
- 21,441
Hiyo ndy mtu tunayemtaka man u na sio kutuletea makinda.mwanadamu fulani mwenye mapafu ya mbwa.
CAM anacheza kwa ufasaha kwa sababu amejaaliwa nguvu, pace, aggression, intelligence na uwezo wa kushinda mipira dhidi ya adui
