Usikute yupo ndio mana tunasajili vimtu vya ajabu ajabu vije kukulia paleHivi furguson hayupo katika bodi ya ushauri wa sajili maana dah ni Kuna muda nafikiria labda wale wamiliki wa club wamarekani kama wanaihujumu timu yetu makusudi ili kudhoofisha soka la kiingereza maana Mambo ya intelijensia za kiuchumi ni pana sana
. Mana yaweza kuwa bado wapo kwenye zama za Fergie kumbe mambo yamebadilika sana!Kama Chelsea wamemchukua babu Thiago na wakachukua nae uefa cl basi hata sisi itakuwa siyo ishu sanaMchukueni babu Ramos
Roy huwa hakopeshiRoy Keane kachafukwa na inshu za pogbaView attachment 1823509
Ebooo ..kwani mwendazake ndo anawajaza watu uko uwanjani??Lazima watatii tu, Magu for life a.k.a the most intelligent pan Africanist.
Mwezi JulyPre-season inaanza lini wakuu?
Kwa namna yoyote Man united haimhitaji Rahim SterlingYuko sokoni mnamwonaje hafai kuja kwetu?View attachment 1826742
Uchafu mtupu..aende Arsenal au Spurs.Yuko sokoni mnamwonaje hafai kuja kwetu?View attachment 1826742
Official: #mufc have announced four pre-season games:Pre-season inaanza lini wakuu?
Corona hii imeharibu mambo kabisa..hakuna tour za USA,Dubai au Shanghai.Official: #mufc have announced four pre-season games:
Derby County v #mufc
Pride Park
18 July KO: 13:00 BST
QPR v #mufc
Kiyan Prince Stadium
24 July KO: 15:00 BST
#mufc v Brentford
Old Trafford
28 July KO: 20:00 BST
#mufc v Everton
Old Trafford
7 August KO: 17:00 BST
breakingthelines.com
Abaki huko huko tumechoka na average players.Yuko sokoni mnamwonaje hafai kuja kwetu?View attachment 1826742