Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Lakini hata mashabiki wa United huwa tunamkosoa zaidi Lindelof kuliko MaguireWaingereza wanaharibu kulazimisha atafutwe patner wa Maguire na sio patner wa Lindelof.
Lakini hata mashabiki wa United huwa tunamkosoa zaidi Lindelof kuliko MaguireWaingereza wanaharibu kulazimisha atafutwe patner wa Maguire na sio patner wa Lindelof.
Swali gumu sana hiliLindelef alikuwa hatari kabla ya Ole?
Usiteemee makubwa sana hadi deal la sancho likamilike halafu dakika za lala salama uko.Kuna tetesi zozote kwenye hili chama letu maana nahisi Man utd kwangu ni Kama dhehebu
Ni nyie. Sio mimi.Lakini hata mashabiki wa United huwa tunamkosoa zaidi Lindelof kuliko Maguire
Hivi furguson hayupo katika bodi ya ushauri wa sajili maana dah ni Kuna muda nafikiria labda wale wamiliki wa club wamarekani kama wanaihujumu timu yetu makusudi ili kudhoofisha soka la kiingereza maana Mambo ya intelijensia za kiuchumi ni pana sanaImagine Real Madrid wanampiga chini beki kama Ramos halafu united tumekumbatia wachezaji kama Phil Jones.
Tunapata wapi ujasiri wa kujiita big club?





Usajili wa sosha huo kimeo kweli kweliNi nyie. Sio mimi.
Sijawahi kufurahia Maguire kuja United kwanza kwa bei yake na kiwango anachoonesha.
I remain neutral on defence.
Kwenye individual performance i find english players not having talents at all.
Tutee tumekua kuku jike?Hii timu inapoelekea maskini ya mungu ,wataishia kuhadithia historia za kina Rooney na ronaldo
Msimu ujao sijui hata wanatetea kombe gani
Msimu mzima huna komba ,unasimana mbele ya wanaume unasema ni timu kubwa ....Tutee tumekua kuku jike?
Acha ushamba wa video dogo.
Alafu kumbe wewe ni dogo janja sana, yani unamzungumzia Rooney, sijui Ronaldo!
Hao mbona wa kawaida tu.
Kulikua na kombo ya Yorke na Cole ikapita.
Kuna mtu alitaka kunifanya nihame Manchester United, anaitwa Bechkham.
Bechkham kidogo anihamishie Madrid, lakini niliendelea kulipenda hili chama.
Janjalo sisi ndio timu kubwa pale Engaland hakuna wa kutuweza, bora Liva kuku anaweza kuongea sio nyinyi taka taka nyingine.
Euro inajaza tu mashabiki kama wote
Lazima watatii tu, Magu for life a.k.a the most intelligent pan Africanist.Euro inajaza tu mashabiki kama wote
Madirisha 6 ya usajili ni mchezaji 1 tu Sancho.Laiti ningekua naweza kuacha kuangalia mpira ningeachaga tu au kuhama timu. watu wanakamilisha deals wanaondoa watu tena manguli sisi bado tetesi tu tena mchezaji mmoja na huyu tutaenda hadi bado siku 2 dirisha lifungwe ndo tunasajili mashabiki tunafurahi tumempata sancho matatizo mengine tunasahau.