Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fikiria katika kuzunguka kote kwa option 804 za right back,hiyo DNA ikaonekana ndani ya Aaron wan bisaka!
maguire na daniel james pia walibahatika kukutwa na DNA zetu.
Leo hii tetesi zinazoihusu united zimemzunguka rice,sancho na trippier. Mkuu hii ndio tunaita DNA kwa lugha nyepesi.
sasa nimekuelewa
hapo kwa wan bissaka unaambiwa top 3 alikuwepo thomas mounier lakini akaangukia pua
 
mchezo wa mpira wa miguu unabadilika, now tumehamia kwenye ulimwengu wa kutegemea zaidi mfumo na si kipaji cha mchezaji mmoja mmoja.
tactics ndio zimuongoze mwenye kipaji chake
guardiola aliwahi kumtoa nje thieryy henry licha ya kufunga goli kwa sababu alikwenda position isio muhusu na kufunga goli
=============
kuna timu zitatusumbua sana kama tutaendelea kukariri simple football anayoita mzee marcelo bielsa (leeds, leicester, liverpool, man city, arsenal)

Hili neno simple football haikuwa kejeli kwa namna moja ama nyingine dhidi yetu?
 
Hili neno simple football haikuwa kejeli kwa namna moja ama nyingine dhidi yetu?
hata sielewi alichokusudia yule mzee
kwa jicho la kawaida ukiangalia uchezaji wa timu yake na wa kwetu unaweza kuita ni dharau
kimatokeo ameonyesha wasifu

tunachotaka sisi wengine ni mpira mzuri na matokeo kwa pamoja
 
Na kwa muelekeo wa haya mashindano ya euro 2020,kuna uwezekano mkubwa bruno na pogba wakafika mbali hivyo kwao msimu unaweza kuchelewa kuanza. 😀😀
hao wote watafika robo fainali, halafu kuna fred naye anacheza copa america
kule brazil wanamchezesha left central midfield
chini yake yupo marquinhos, thiago/ eder militao, fabinho, casemiro
anarelax
 
Haya ni maajabu mengine kuhusu wachezaji wa man utd wakiwa na timu zao za taifa.
Kuna Pogba na huyu lindelof.
Kila tunapojaribu kuwaapuza tuingie sokoni,wanaibuka mashujaa kwa mataifa yao!
1. Tatizo ni maguire au lindelof?
2. tatizo ni muunganiko wa maguire na lindelof?
3. Tatizo ni la mbinu za kiufundi za mwalimu wao katika klabu?
Kwa mfano Joe Glazer angsema angalie hii mechi kabla hajafanya maamuzi aidha ampe Ole mpunga atafute msaidizi wa Maguire au aendelee na Lindelof kama partner wa Maguire,angekosa imani na uwezo wa Ole.
Sijawahi kuwa na shaka na uwezo wa lindelof.

Tatizo ni kocha.
 
Tusipoenda ligi nyingine na kutafuta vipaji kama kina Bruno, tutaendelea kuongelea historia kila siku.

Tupo kwenye mkwamo, sio kocha, benchi la ufundi wala management wanaelewa tunatokaje hapo.
 
Kuna kitu unatakiwa kujua kuwa kuna manager na makocha, mtu kama ole mimi huwa naona kama ni manager hawez kumcoach mchezaji akawa hatari sana ndiyo maana unamuona pogba akiwa united haperfom kama akiwa timu ya taifa. Ila mchukuwe huyu pogba wa united mpe klop utajua hujui
Eti utajua hujui Mimi najua wewe ndio maana nimekua wewe hujui.
 
Siunajua maisha ni kama chupi la mtumba!… kuna siku unaweza kuichagua inayo kutosha…siku nyingine unaichagua ya kuivaa papaa wemba.

Yani kama ninja mweusi tu, mara naonekana mara nimepotea, mpaka kieleweke.
Hahahaha sawa sawa mchizi boti ..Ila angalia usijepigwa na ngema uko au wahuni wakakutoa sadaka tukakupoteza mazima. Bado tunakuhitaji hasa kwenye hii nngwe ya michezo
 
Hahahaha sawa sawa mchizi boti ..Ila angalia usijepigwa na ngema uko au wahuni wakakutoa sadaka tukakupoteza mazima. Bado tunakuhitaji hasa kwenye hii nngwe ya michezo
Wananiita " Mbishi kufa" … kwenye watu 6 nimetoka peke yangu, unadhani mchezo?
Juzi nimepokea habari za msiba wa babu yangu mzaa baa huko Tanzania.
Mwezi ulio pita nilikua maisha mabovu (jela) miezi kama mitatu nyuma nimekoswa kuzikwa, kwenye watu 6 nimetoka peke yangu, unadhani me ni wakufa leo?
Bado nipo nipo sana.
 

Forget Manchester United - the guy who plays for France is the real Paul Pogba​


Sam Wallace
Wed, June 16, 2021, 6:19 PM


Paul Pogba graphic - Forget Manchester United - the guy who plays for France is the real Paul Pogba

Paul Pogba graphic - Forget Manchester United - the guy who plays for France is the real Paul Pogba
The simple question about Paul Pogba occurred again on Tuesday night, watching him set out against Germany with that beguiling blend of skill, passing and inventiveness in one of the best individual performances so far in Euro 2020. What kind of footballer is he?
Against Germany, Pogba felt once more like one of the great skilful improvisors – a great passer, a willing experimenter in the high-skill intricacies that are the game’s hardest part, even a player interested in striking the ball a different way to produce flat, fizzing diagonals. His profile was that of the stand-out risky funster. Less self-indulgent than Neymar but certainly comparable with Jack Grealish or Eden Hazard. Slowing it down or speeding it up, and generally left to their own devices.
Pogba is that player – he just happens to have the physique of a defensive midfielder, which naturally invites assumptions about the type of performance that should be forthcoming. His size is helpful to him in protecting the ball in close contact while he decides what next to do with it, but it by no means defines him. What defines him are the risks he takes and the influence on the game that flows from them. For France he operates as a creative presence: unpredictable, sometimes frustrating, but capable of conjuring up big moments.
He is not a midfield general at all in the conventional sense. Even at his best, Pogba has always been a player where a bad moment - a skied shot, or a pass to nowhere - can appear suddenly, incongruously, amid a sequence of inspired interventions. That tendency does not diminish with France either, other than to say he gets back on the proverbial horse much sooner and tries again.

Back in the ITV studio, Roy Keane struggled to reconcile this version of Pogba to the much less influential figure he knew from United. He ruminated on the difference made by playing alongside N’Golo Kante and, indeed, France are a much more dominant side than the one who pay Pogba’s wages. Keane was right that Pogba's five years at Old Trafford have been riven with inconsistency. It is simply that France are better equipped to accommodate the occasions when it goes wrong in Pogba’s game. He needs that leeway to attempt all the good bits, like the ball out to Theo Hernandez that created the game’s only goal.
Five years at Old Trafford have proved beyond doubt that Pogba is not the inheritor to the mantle of great United central midfielders – the tradition of Bryan Robson, Paul Ince, Keane, even Paul Scholes. On nights like the one in Munich, he is much closer to Eric Cantona, a player who did lots of things differently, and some in spectacular style, but would never be expected to run the game in the usual way.
The contrast from the performance data for club and country is stark, down to the positions Pogba most often takes up for France and for United. The accompanying tables demonstrate that for France against Germany he was most commonly on the right side and in front of his own goal. He barely touched the left side, where United tend to deploy him. It is not simply the case that he spent more time in attacking positions for France – indeed the opposite was the case. For France, he spent 59 per cent of the time in his own half. At United over the course of the Premier League season he spent 55 per cent of his time in the opposition half.
Even so, the difference in outcomes is startling. Over 42 games for United in 2020-21, contrasted with his nine France appearances since September, Pogba’s average output per game is better for his country in almost every category. His six goals and six assists for United over the period as opposed to none for France is the only meaningful category in which he performs better for his club – and even those returns could hardly be said to be a triumph over the course of a season.
Over 90 minutes, he averages better output for France in terms of passes, shots, tackles, interceptions and recoveries. He wins the ball in the final third more often for his country and he passes the ball into the penalty box more frequently. He created more chances on average for United but his expected goals and expected assists, the metric which measures the quality of certain chances, was higher when playing for his country.
He makes mistakes with France, too, because that is the nature of the way he plays – although it appears to be a compromise that Didier Deschamps has made his peace with. Pogba is erratic, even on his best days. Which is not to say that United have not tried with him. They made him their best paid player for a period and when he is fit, he is selected. In a clear illustration of where the power lies, Pogba outlasted Jose Mourinho and there will most likely be the offer of a new contract in the next few months.
Unfortunately for United, there can be no doubt that he has not delivered the uplift they hoped he would bring as a once-in-a-generation signing, comparable to Robson, Cantona, Keane or Wayne Rooney. In that respect the responsibility falls on both sides. Tuesday showed how effective he can be, as a player whose physique and presence belie a talent that is something different altogether.
 
Back
Top Bottom