Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa mkapa pale ni kama kuna uchawi vile..

Huyu jamaa anaweza akawa sio top level..lakini nadhani ni cheap option,anauwezo kumzidi immobile McTominay,who always went missing pale katikati..kasi,physicality,passing n.k yuko poa.

Scout wetu naskia wanaenda kumcheki pia jumamosi kwenye game vs Wydad.
Bro naomba mungu uwe unatania.
Mtu ambaye mid ya lwanga na mzamiru ilimpoteza, atatufaa dhidi ya kina Alcantara?
Mi nilivyoona hivyo nikajua wanatukejeri
 
Vipi huyu Sanchez?
ni press resistance wa uhakika (bahati nzuri au mbaya hatuna mchezaji mfano wake)
akipata timu ambayo haina presha kubwa atafanya vizuri sana
bayern walimnunua kwa fedha nyingi sana lakini alishindwa kuyafikia matarajio yao, huenda timu kubwa wataitumia rekodi yake na bayern kwenye kufanya uamuzi wa kuepukana naye.
  • everton
  • wolves
  • tottenham
zinaweza kuwa timu sahihi zaidi kwake
 
True..hata huko Lille timu isiyo na pressure amedeliver na wamebeba kombe la mbuzi la French League One..
 
Lakini mimi sioni kama tuna tatizo central midfield.
Tatizo letu liko right wing na centre foward.

Ni heri tutumie pesa zote za usajili kuimarisha centre foward na right wing kwanza
Tatizo la defensive mediflder pia tunalo,,,,kuchezesha Fred na.Tommy pamoja ni kuvunja makali ya attacking,
Tupate DM mmoja mkali ili tuwe more attacking.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la defensive mediflder pia tunalo,,,,kuchezesha Fred na.Tommy pamoja ni kuvunja makali ya attacking,
Tupate DM mmoja mkali ili tuwe more attacking.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema hata tunacheza na Brighton tunahitaji double pivot ?

Nafikiri Solkjaer anatumia double pivot kutokana na uamuzi wake tu hasa ukizingatia ni midfield pekee ndiyo yenye machaguo mengi.
 
Unataka kusema hata tunacheza na Brighton tunahitaji double pivot ?

Nafikiri Solkjaer anatumia double pivot kutokana na uamuzi wake tu hasa ukizingatia ni midfield pekee ndiyo yenye machaguo mengi.
Tunachezesha double DM. sababu ya udhaifu wa DM yetu pamoja na kulinda zaidi beki zetu dhaifu.

Kuchezesha double DM ni kupunguza makali ya attacking na kuwa defensive zaidi.
Lakini tukipata DM mkali mmoja mfano wa carrick atafanya tuwe attacking zaidi,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea na Yanga yako mkuu, huku hapakutoshi.
Sorkjaer yupo sana, sio leo wala kesho.
Shida ni nini kwani? Upstairs uko sawa? Hayo ni maoni yangu wewe endelea na maoni yako ya kwamba Ole anatosha basi! Inaonyesha Mpira Wa bongo tunauona kwa macho ya kawaida ila huko ulaya Mpira tunauangalia kwa microscope ndio mana huku sitoshi. Acha ushamba na argument zako za ligi ya kibongobongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mechi ya tatu mfululizo tumewashuhudia wanadamu wawili wanaosifika kwenye position ya DM wakigombania namba huku mr fred akiendelea na majukumu yake ya LCM (mechi ya leo amecheza dakika 64).

jose mourinho aliwahi kusema hivi msimu wake wa mwisho pale man utd (msimu alioletewa kwanza fred badala ya maguire)
“I think Fred [will play more], when the team is defensively stronger and doesn't need in midfield people that are more worried about giving some balance to the team than being involved in creation and attacking dynamics. The day we are stronger defensively, I think the horizons for Fred change completely.

hayo yote mawili anayapata akiwa na timu ya taifa ya brazil, analindwa na safu bora ya ulinzi kwa kuanzia goal keeper mpaka namba 6 wao (casemiro au fabinho)

kuna hatari usajili wa sancho ukakwamisha sajili nyenginezo muhimu tunazozihitaji
sote tunafahamu mahitaji yetu mengine muhimu ni DM na CB
tuna wachezaji watano wanaoathirika kwa sababu ya ukosekanaji wa wachezaji bora kwenye maeneo hayo mawili
fred + scott mctominay + pogba + fred + donny van de beek
1624531302523.png
 
Back
Top Bottom