Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yawezekana hana maajabu kweli je kikosi chetu kina mtu mwenye maajabu anayecheza wing ya kushoto ?
Kwenye dunia ya vipofu ,,Mwenye Jicho moja huwa mfalme.
Rashford hana maajabu ,,,na hakumfanyi aonekane ni bora wakati wapo wachezaji duniani wenye uwezo mkubwa kuliko yeye.
Muda wa kuingia kutokea bench umefika sasa.
Atafutwe mbadala wake .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
De Gea-Spain

Dean Henderson-England

Shaw-England

Maguire-England

Lindelof-Sweden

Fred-Brazil

McTominay-Scotland

Pogba-France

Bruno-Portugal

Rashford-England

van de Beek-Netherland

James-Wales
First XI hapo hawazidi wa tano. Pogba, Rashid, Pernandez, mctommary labda na De Gea ..hao wengine wanaitwaga kujaza nafasi zilizoachwa wazi

Ukienda kwa Chelsea Sasa ..Mount Ndani, Chilwell ndani, James ndani, Silva ndani, Pulisic ndani, Jorgihno ndani, Gilmore ndani, Kai, Rudger na Werner wote ndani hehehe bado Nani mwingine .. Mendy ndani, Giroud, Kante ndani, hehehe sisi hatunaga bench wormer na Kama wapo ni wachache Sana hehehe This is Chelsea.
#CFC
 
Yawezekana hana maajabu kweli je kikosi chetu kina mtu mwenye maajabu anayecheza wing ya kushoto ?
ukiacha record zinazo mbeba ana msimu wa ngapi anapewa nafasi umeona anakitu kilichobadilika ? kila siku yuko vilevile cheki greenwood alivyoanza na alivyo sasa ndani muda mfupi tunaona anazidi kuwa mzuri
 
Hata ukiangalia kwenye epl kwa wachezaji wanaocheza wing ya kushoto ukiondoa Sadio Mane , na Son nani mwingine anayemzidi Rashford kitakwimu na ubora ?

Maana yake hata wachezaji wanaomzidi umri bado anapambana nao kitakwimu.
 
Naona umebadilisha avatar, safi sana mkuu.
 
Amenihuzunisha sana aisee..bora tu amekuwa stabilized.
We acha tu kaka yn hapa hom wote tulikuwa tunajisikia vibaya, hata wasiopenda mpira wote walikuwa wanaomba zije habari nzuri, ila Mungu mkubwa ameamka aisee.
Screenshot_20210612-212356.jpg
 
Back
Top Bottom