Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hiyo lazima waanze ndio tatizo kubwa la wachezaji wa kiingereza,hata kama kiwango kimeshuka.
Angalia mfano wa rashford tunaambiwa anacheza na majeruhi utadhani yeye ndio wa muhimu timu nzima,mbaya zaidi mfanya maamuzi ni ole.
Ilichukua muda mrefu kabla ya cr7 kuwa tegemeo pale Utd licha ya kwamba alikuwa ana deliver na pia graph yake ilikuwa ikipanda kila siku tangu akiwa kinda, lkn hawa nyota wetu wa cku hizi errors kibaooo.
 
Kumbeeee
PSX_20210607_184504.jpg
 
Hapo ndipo huwa wananichosha utasikia "Mashetani hao wekundu wanaenda kukipiga na... bila ya huduma ya mchezaji wao nyota Rashford" huwa najiuliza hivi tm yetu imefikia hatua Rashford ni mchezaji wa kutumainiwa!!!!
Yes wing ya kushoto nani anayemfikia kiwango pale kwenye kikosi chetu ?
 
Ilichukua muda mrefu kabla ya cr7 kuwa tegemeo pale Utd licha ya kwamba alikuwa ana deliver na pia graph yake ilikuwa ikipanda kila siku tangu akiwa kinda, lkn hawa nyota wetu wa cku hizi errors kibaooo.
Graph ya Ronaldo ilikuwa inapanda lakini kumbuka hata graph ya Rashford kitakwimu inapanda.

Rashford ana miaka 22 ana magoli almost 88 hivi kwa United.

Ronaldo aliondoka united akiwa 24 years na alikuwa na magoli 118 katika misimu 6 aliyokaa Man united.

Kumbuka pia Ronaldo alikaa katika Man United iliyokuwa bora kuliko timu yoyote EPL na ikibeba makombe mbali mbali.

Rashford yuko kwenye Man united dhaifu huenda kuliko ile aliyoikuta Ferguson miaka ya 1986 huko.

Ukitumia takwimu kumtathmini Marcus Rashford atakudhalilisha tumia kigezo kingine.
 
Mpira wenyewe ndio huu wa sasa defence zinafanya errors za wazi kabisa? Hivi mkuu kwa defenfers za kipindi cha cr7 kina Martin Sketel, kina Sol campbel, kina John Terry huyu Rashford angefikisha hata bao 50 kweli huyu? Ok kila mtu ana mtazamo wake wacha nikubaliane na mtazamo wako.
 
Huwezi jua pengine angekuwa wa moto zaidi.

Mimi pia najua Rashford ana mapungufu mengi sana uwanjani lakini ukitumia graph ya takwimu atakuumbua. Kwa sababu takwimu zake kila msimu zinapanda.

Hebu kaangalie Ronaldo wakati ana 22 years kama Rashford alikuwa na magoli mangapi ?

Kutumia takwimu kumchambua Rashford hautapata mtazamo sahihi kwa sababu takwimu zake ni nzuri kuliko mchezaji mwingine yoyote wa united post Ferguson era.

Sana sana tuishie kwenye kuangalia mapungufu yake uwanjani tu.
 
Uwezo mkubwa wa kocha pia unachangia mchezaji kuwa kwenye kiwango bora. Lampard alishusha viwango vya Kante, Rudger, Harvetz, Azipu n.k

Sancho ni mchezaji mzuri sana lakini chini ya kocha wanafunzi Ole, kiwango cha dogo kitashuka, mtamkataa dogo.
Mkuu ktk jambo lolote kwnz zingatia sn kipaji.

Mchezaji Mwenye kipaji kikubwa hahitaji kufundishwa vitu vingi na kocha.
Wapo wachezaji wanaotegemea kufundishwa na kocha ,,
Hao ndy wenye shida ktk uchezaji wao.

Sancho ni aina ya mchezaji mwenye kipaji sn.
Mtazame vzr akiwa na mpira na jinsi anavyo moves.

Ni tofauti sn na rashford japokuwa wote wanacheza pembeni..

Yule popote anacheza na anaperform vzr sn.
 
Back
Top Bottom