Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unatumia wishful thinking jaribu kuleta takwimu za Ronaldo akiwa 22 years na za Rashford akiwa 22 years.

Kumtathmin Rashford kwa takwimu hautapata mtazamo sahihi kwa sababu takwimu zake zinambeba sana kwa umri wake.

Wayne Rooney na Rashford katika umri alionao Rashford walikuwa na takwimu sawa tu na alizonazo Rashford kwa sasa. NB sisemi kuwa Rashford ana ubora sawa na hao viumbe hapana ila ukitumia takwimu analingana nao katika umri sawa.

Tuangalie mapungufu ya Rashford kwa mzani tofauti na siyo takwimu.
Point yangu ni kwamba zama za sasa za akina rashford Hakuna watu wa kazi kama kipindi kile cha akina Rooney na Ronald.
Ni kwl rashford ni tatu ktk ufungaji as teenager Manchester united nyuma ya Rooney.
Lakini je amecheza wakati gani?
Rashford bado hayupo timam mkuu..
 
Point yangu ni kwamba zama za sasa za akina rashford Hakuna watu wa kazi kama kipindi kile cha akina Rooney na Ronald.
Ni kwl rashford ni tatu ktk ufungaji as teenager Manchester united nyuma ya Rooney.
Lakini je amecheza wakati gani?
Rashford bado hayupo timam mkuu..
Unapozungumzia wakati nakushangaa sana kipindi cha Kina Rooney na Ronaldo kiliruhusu expression of talents uwanjani kuliko hivi sasa ambao wachezaji wanakuwa limited sana.

Sijajua unamaanisha defenders walikuwa katili sana lakini takwimu za sasa wachezaji wanacheza striking force wameongezewa majukumu ya pressing na kutrace back hivyo wanarom uwanja mzima.

Kingine sasa hivi timu nyingi zimebadili sana mifumo ya ukabaji unaanza kukabwa na striker mwenzio kabla hata hujafikia defenders huoni kwamba kwenye mpira ulikuwa na uhuru uwanjani Rashford angekuwa threat sana?
 
Unapozungumzia wakati nakushangaa sana kipindi cha Kina Rooney na Ronaldo kiliruhusu expression of talents uwanjani kuliko hivi sasa ambao wachezaji wanakuwa limited sana.

Sijajua unamaanisha defenders walikuwa katili sana lakini takwimu za sasa wachezaji wanacheza striking force wameongezewa majukumu ya pressing na kutrace back hivyo wanarom uwanja mzima.

Kingine sasa hivi timu nyingi zimebadili sana mifumo ya ukabaji unaanza kukabwa na striker mwenzio kabla hata hujafikia defenders huoni kwamba kwenye mpira ulikuwa na uhuru uwanjani Rashford angekuwa threat sana?
Nikisema kipindi cha akina Rooney na Ronald namaansiha kwamba,
Wakati ule mabeki walikuwa wagumu na wakorofi sana.
Tofauti na sasa mabeki laini,hata sheria zimekuwa nyingi sana uwanjani kumfanya mshambuliaji asichezewe uhuni kama mabeki wa zamani walivyokuwa.
Zamani kuanzia no 6 ni mkorofi hadi beki lines zote undava mtupu
Hata keeper ukija vibaya anakurukia mguu wa shingo..
Rashford angepitia wapi?

Leo wachezaji wamekuwa laini sana.hyo ndy point yangu.
 
Teh teh teh
PSX_20210610_130659.jpg
 

Manchester United Tactical Analysis: Can making bad passes be a good thing?

No Manchester United player gives the ball away more than Bruno Fernandes. No Manchester United player is better than Bruno Fernandes either. Similarly, very few players in Europe give the ball away more than Lionel Messi or Kevin de Bruyne but you won’t find many players better than those three.


You’ve already heard this before. Bruno gives the ball away a lot because he plays more risky passes. In matches that United won this season Bruno completed 75 percent of his passes, meaning one out of every four went to the opposition.

United’s biggest problem this season wasn’t that Bruno gave the ball away too much, it’s that they didn’t have enough players besides Bruno giving the ball away.

Giving the ball away isn’t automatically a bad thing, especially depending on where you are and what part of the game you’re in. In fact, it can actually be a good thing if you use it correctly.
 
The same can be said for taking shots from outside the box. The statistical revolution in football has lead to a drastic decrease in shots from outside the box for the simple reason that they are incredibly inefficient. They do have some good uses though — such as trying to pick out the top corner after a corner, and either scoring and sending it out for a goal kick, so your defenders can get back and not get caught in transition — especially if used properly.

Bruno Fernandes loves to shoot from distance. This season he took 73 Premier League shots from outside the box — 19 more than second placed James Maddison (WhoScored). Of those 73 shots, Fernandes scored on just one of them. I don’t need to tell you how bad that is.
 
But Fernandes uses that trait to his advantage. Thanks to his time in Portugal he’s developed a reputation as a player who can hit them from distance. Most of Bruno’s shots don’t have a fairy tale’s chance of going in, but when there’s dip on it and the goalkeeper palms it away, it looks just dangerous enough that you have to respect it. That’s when Bruno can take advantage.

Take this situation last year during Project Restart. Bruno came back from the break and just began launching shots from everywhere in United’s first few games, reminding everyone that he’s “a threat.” When United were facing Bournemouth, Bruno picks up the ball on the edge of the box and begins to bring it to the middle.
1623398643042.png

That’s a lot of space and a player of Bruno’s caliber needs to be closed down. Bournemouth’s right-back notices this and takes a step up to close down that angle. When he does that though, he leaves a meter behind him for someone — I don’t know maybe Mason Greenwood? — to take advantage of, so long as Bruno can get him the ball.
1623398739039.png

Bruno slides it across just beyond the reach of the defender and with just one touch Greenwood is able to get behind him. The defender is only about one step out of position but at this level that’s far too many.
 
This season against Tottenham Hotspur, we see something very similar. Bruno gets the ball at the top of the box. Serge Aurier has to come out to close him down even though Bruno isn’t even facing the goal, because Bruno is far too dangerous to be given that kind of space. Bruno merely gives the ball up, but Aurier is lazy to get back into position, leaving a space in behind for Edinson Cavani to take advantage.

The same principle applies to passing. Sometimes you have to make passes that have almost no chance of succeeding in order to set up better looks later in the match. If you don’t, you become one dimensional and are far too easy to defend against.
56___Fred_goal.gif
 
Back
Top Bottom