Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jombaa, Waingereza ni wachezaji wanaokuzwa mno usiwaamini. Mimi ni moja kati ya mtu ninaopinga sana usajili wa wachezaji wa kiingereza based on observations kuna kipindi nilichowahi kuandika hapa huwa wanakuwa-evaluated kwa vipindi vifupi ktk career zao.

Kwa soka la sasa, Usiniulize nimetumia kanuni gani ila ukiwa na wachezaji wa kiingereza zaidi ya wanne kikosi cha kwanza ktk timu yako yaani ni lazima waanze panga pangua huwezi kushinda taji lolote lile kubwa. Hawana vipaji.

Waingereza tuwapate kwa njia ya kuwapandisha kupitia timu za watoto kama Marcus Rashford na Mason Greenwwood ila sio kupoteza pesa kuwanunua. Nikiona taarifa za Sancho Sky Sports wanavyoaandika upupu kumpamba moyo wangu unanung'unika sana jinsi vyombo vya habari vya kiingereza vinavyotumia platform kutangaza wachezaji wa kiingereza average kila siku.
Inakera sana.
 
Kama tunataka kuwa mabingwa basi tutafute watu waliowiva tayari.
Dogo nimemuangalia sn bado,,
Anahitaji muda kuiva.
Tena huyo Donny ni bora kuliko huyo.

Man u ni timu kubwa inahitaji wachezaji wakubwa.
Wenye uwezo mkubwa.
Sio kama huyo Dogo.
Nani ataziba pengo la Pogba ?
 
Sergei Gnabry na Riyadh Mahrez
Kwa upande wa stats za 20/21

Sergei gnarby

matches 27
Goals. 10
Assists. 6

Sawa na GA ya 16

Mahrez

matches 27
Goals. 9
Assists. 6

Sawa na GA ya 16 pia

Sancho

matches 38
Goals. 16
Assists. 20
Hivyo ana GA ya 36

Tukingalia Umri pia, tukianglia aina ya timu aliyopo, na kuwa fit hadi kucjeza hizo mechi 38 namchukua Sancho
 
Kwa upande wa stats za 20/21

Sergei gnarby

matches 27
Goals. 10
Assists. 6

Sawa na GA ya 16

Mahrez

matches 27
Goals. 9
Assists. 6

Sawa na GA ya 16 pia

Sancho

matches 38
Goals. 16
Assists. 20
Hivyo ana GA ya 36

Tukingalia Umri pia, tukianglia aina ya timu aliyopo, na kuwa fit hadi kucjeza hizo mechi 38 namchukua Sancho
Sancho nimemwamngalia sna,
Nichezaji Mwenye vitu Vingi sana.
Kwa kifupi man u tunamuhitaji sana sacho.

Kama man u wakileta ubahili wao na kuwaacha Chelsea wamchukuwe ,
Basi tutaahindwa mapema sn mbio za ubingwa msimu ujao.
 
Nani ataziba pengo la Pogba ?
Pogba pia hapaswi kuuzwa..
Na hata kama atauzwa huyo Dogo hana uwezo wa kuziba pengo la pogba.

Still duniani bado pana watoto wanajuwa sn,
Sijuwi kwann man u wanashindwa kutafuta wachezaji wa
kazi wasio na maringo.
Hivi ni nani alijuwa kama Bruno angemfunika pogba?

Wapo wachezaji kibao aina zaidi ya pogba duniani.
Tukawapata na tukasahau mambo ya kutishia kuondoka kila mwaka.
 
Back
Top Bottom