Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunaelekea kuwa Barcelona naamini Barcelona inapitia kipindi kigumu kiuchumi hadi uwanjani sababu ya kutokuwa serious na mambo ya soka na kukumbatia wachezaji wazee leo hii Barcelona inasajili wachezaji wazee sababu hawawezi tena kusajili wachezaji wa paund mil 100 hata 2 mfuko hauruhusu
 
Mkuu tungeluwa seripus kwa kikosi chetu unaongeza nguvu kwa paund mil 300 au 350 kwa wachezaji 3 tu wa viwango vya dunia mbona tungenyanyua kwapa mapema tu
Socha na timu yake pamoja na bodi watatuletea tena vitoto na wachezaji wasioweza kuingia first eleven kama dirisha lililopita na kutegemea matokeo tofauti.

This time tunahitaji watu kweli..Level za Harry Kane,Sancho n.k
 
Socha na timu yake pamoja na bodi watatuletea tena vitoto na wachezaji wasioweza kuingia first eleven kama dirisha lililopita na kutegemea matokeo tofauti.

This time tunahitaji watu kweli..Level za Harry Kane,Sancho n.k
Endapo tukifanikiwa kupata wachezaji 3 wakuingia direct kwenye kikosi cha kwanza bas tutafika mbali msimu ujao
 
Daniel james kuna sajili sijawahi na sitakuja kuzielewa kamwe wan bisaka
Atleast Bissaka mkuu..bei yake ilikuwa kubwa lakini naamini akiletwa mtu wa kumpa changamoto huo upande wa kulia utakua hauna shida..one V one jamaa yuko poa..ila kuna game tunahitaji mtu wa kwenda mbele zaidi kama kina Trent na Reece James wanavyofanya.
 
Hivi Pogba akigoma kuongeza mkataba ina maana msimu ujao ataondoka bure sio?.

Tukimwingiza sokoni tutavuta kama kiasi gani hivi?..sidhani hata itazidi £30m.

Frankly speaking akiuzwa wala sitaumia..replacement yake tunaweza kutafuta kiungo mwenye kasi,anayeweza kukaba pia na ambaye offensive yuko poa na mwenye skills.
 
Timu yetu inasifikaga ina pesa kuliko zote duniani mara inaingiza oesa nyingi kuliko club zote, ila haijawahi onesha hilo hata siku moja......

Sijawahi ona msimu timu inasajili wachezaji wa paund mil 100 wawili waviwango vya juu na kuongeza beki wa paund mil 70 .....je tunajiita timu kubwa yenye hela kwa vigezo gani maana hata uwanja haujafanyiwa marekebisho muda mrefu imebaki historia tu pale OT......

Kwasasa ni dhahiri Manchester sio club kubwa bali ni club kongwe, hatuna maamuzi wala watu wazoefu wakuitwa experts wa timu kubwa kuanzia kocha hadi wachezaji baadhi.....

Hivi mchezaji kama Aguero anatolewa manchester tunaweza mtoa hata pogba umri ukifika.....Timu kubwa imejoficha kwenye kichaka cha rebuild kila msimu wanatumia paun mil 200 au 150 kwa wachezaji 4 au 5 alafu tunajiita timu kubwa how......

Timu yetu sio timu kubwa na yenye pesa.....kama tungekuwa timu kubwa na yenye pesa tungekuwa na wachezaji 4 au 5 wenye thamani ya mil 100 kwenye kikosi ila sidhan kama wanazidi 2......

Hapo unasikia timu imeshindwa msajili Dias kwa sababu wanaamini paund 25 ndio sahihi (refer msimu uliopita).....wanaamini Haaland sio mchezaji wa thamani ya paund mil 40 (plus add ons plus hela za wakala na blah blah nyngne) sasa ukubwa na utajiri wa timu uko wapi kama sio kuwekeza kwenye miundombinu ya uwanja na wachezaji wazuri....

Hatujawaji kumgombania kocha aliekwenyepick tukaweza kumleta OT ndio maana tumeridhika na Ole.....

Kweli man u ni ya kufungwa fainal na Villareal Kwa mechi ile?

Kuanzia kocha, wachezaji nusu yao, wamiliki na staff wengine wote ni watu wasiosahihi kuwepo klabuni.....

hivi unashindwa nini kumtoa Ole aliefeli na ukamleta Conte aliefree na ukampatia paund mil 300 akuletee ubingwa.
Kwa pesa na deep network ya scouts duniani sioni sababu ya kushindwa kuchukua EPL kila baada ya misimu miwili au mmoja.

Tatizo la United ni management wanaofanya maamuzi ya kijinga sijapata kuona.

1. Wananunua wachezaji wasiokuja kutumika.

2. Kushindwa kuuza wachezaji wasiotumika.

Imagine mchezaji kama Phil Jones yupo mpaka leo.
 
★Keeping it up

#PhotoOfTheDay
#GGMU

manutd |
IMG_20210605_204419_871.jpeg
 
★There is gradual movement on Jadon Sancho's future. Talks between Borussia Dortmund and #mufc started in the last few days but no official offer yet. Dortmund want around €90m. Player and club-related sources are optimistic and are working on a solution [sport1]★

#GGMU

manutd |
 
Back
Top Bottom