mjadala wa Ole gunnar solskjaer na mwanawe rashford utabaki kuwa ni mgumu sana, ukitumia jicho la kawaida hao watu huwezi kuwaweka katika kundi la ubora hata kwa dakika moja lakini ukiweka takwimu zao wanaweza kukuumbua hadharani.
sasa Itategemea na njia utakayoitumia kuwarate ubora wao, binafsi napendelea zaidi njia ya kutumia macho yangu dhaifu kwa sababu hunipa jawabu kwa mujibu wa mahitaji yangu
sijui wewe unatumia njia gani kuwarate hao jamaa ila nakuomba usitumie takwimu kwenye kuwapima ubora wao kwa sababu itakuwa ni rahisi kuadhibiwa.
Chief mkwawa hutumia takwimu kumrate mchezaji au kocha husika
Highest Goals Per Game ratio since Sir Alex retired, tatizo kubwa lililojitokeza ni GA
| Season | Games | GF | GA | Goals Per Game |
|---|
| 20-21 | 61 | 121 | 68 | 2.0 |
| 19-20 | 61 | 112 | 51 | 1.8 |
| 18-19 | 53 | 85 | 70 | 1.6 |
| 17-18 | 56 | 101 | 40 | 1.8 |
| 16-17 | 64 | 105 | 46 | 1.6 |
| 15-16 | 59 | 87 | 54 | 1.5 |
| 14-15 | 44 | 71 | 44 | 1.6 |
| 13-14 | 55 | 94 | 57 | 1.7 |
| 12-13 | 54 | 114 | 65 | 2.1 |
| 11-12 | 54 | 120 | 56 | 2.2 |