Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Breaking News...📢📢📢
The City of Manchester has been ranked as the most quiet City in the world over the past week.
According to BBC NEWS, Villarreal and Chelsea are the reason why Manchester is very quiet.
The world have been saved from noise pollution kind courtesy of Unai Emery and T.T...
 
Manchester United director of football negotiations Matt Judge is in dialogue over Trippier. Talks with Atletico Madrid have commenced, with Solskjaer viewing him as a readymade elite option to challenge Aaron Wan-Bissaka at right-back as per
@TheAthleticUK via @theutdjournal
 
Sosha pimbi tu alimsajili bisaka ili iweje
 
Wakati Atletico Madrid wakimsajili Kierian Trippier United walikuwa wanahangaika na Crsytal Palace kumsajili Wan Bissaka.

Woodward katupitisha kipindi kigumu sana
nakubaliana nawe hatukuzichanga vizuri karata zetu tulipomkimbilia wan bissaka na kuachana na kieran trippier aliyekuwa na thamani ndogo na uzoefu zaidi. kwa nyakati zile tulimhitaji mchezaji mwenye uzoefu wa mashindano makubwa hii ni kwa sababu tayari klabu ilishampoteza antonio valencia aliyekuwa mchezaji muhimu sana upande wa kulia kwa muda mrefu kabla ya kupatwa na majeruhi, kumsajili aron anayehitaji kukuzwa kiuchezaji (technical problems) wakati tayari tunaye diogo dalot ambaye naye pia anahitaji makuaji ya kisoka haukuwa mpango sahihi.

ngoja tusubirie hii vita ya kieran trippier dhidi ya wan bissaka kama jamaa atakubali kurudi nyumbani
ethan laird ataendelea kupata uzoefu huko aliko (pengine atapelekwa ligi ya daraja la juu)
diogo atauzwa (Ac milan wameonyesha nia ya kuvutiwa na huduma yake)
brandon williams atatolewa mkopo
 
ilianza hivi kwa bwana eric garcia
“To be honest, I play down the issue. Gerard has achieved everything, he is one of the best centre-backs in the world, is more than recognised and I am only 20, and I am just starting my career. So the only possible comparison is this, that we both are from the academy and we lived in Manchester, but he played for the not so good team. I was luckier and could play at the better team of Manchester. A shame for him.”
===================

muheshimiwa pique leo amejibu hivi
Barcelona's Gerard Piqué asked if Eric García will take his place as a La Masia graduate coming from Manchester: "Yes, but the difference is I came back to Barça after winning the Champions League and he is coming back after losing it

😛😛😛
 
nakubaliana nawe hatukuzichanga vizuri karata zetu tulipomkimbilia wan bissaka na kuachana na kieran trippier aliyekuwa na thamani ndogo na uzoefu zaidi. kwa nyakati zile tulimhitaji mchezaji mwenye uzoefu wa mashindano makubwa hii ni kwa sababu tayari klabu ilishampoteza antonio valencia aliyekuwa mchezaji muhimu sana upande wa kulia kwa muda mrefu kabla ya kupatwa na majeruhi, kumsajili aron anayehitaji kukuzwa kiuchezaji (technical problems) wakati tayari tunaye diogo dalot ambaye naye pia anahitaji makuaji ya kisoka haukuwa mpango sahihi.

ngoja tusubirie hii vita ya kieran trippier dhidi ya wan bissaka kama jamaa atakubali kurudi nyumbani
ethan laird ataendelea kupata uzoefu huko aliko (pengine atapelekwa ligi ya daraja la juu)
diogo atauzwa (Ac milan wameonyesha nia ya kuvutiwa na huduma yake)
brandon williams atatolewa mkopo
United tangu aondoke Sir Alex Ferguson haikuwahi kuongozwa kwa usahihi uwanjani.

Kifupi tulirudi level ya Arsenal ya kufanya usajili kwajili ya kuwa na wachezaji tu na siyo kwa malengo mahsusi.

Uwepo wa Jose Mourinho uliharibu hata image ya Manchester united na uliyaexpose kwa usahihi zaidi mapungufu ya Manchester United kiasi cha kukosa hata mvuto kwa wachezaji wenye vipaji vikubwa ikabaki kujivunia fedha tu.

Sasa hivi mapungufu ya Uongozi wa Manchester united yamezibwa na madhaifu ya Ole hivyo mapungufu ya timu yanaonekana yako kwa mwalimu tu.

Ila ukweli ni kwamba Manchester united haina mwelekeo wowote sahihi uwanjani na Ole kama atabeba kombe atakuwa amebahatisha tu siyo kwa uimara wa timu.

Kwa misimu miwili na nusu aliyokaa Ole Manchester united ameimprove yeye binafsi katika kufanya press conference tu.
 
nakubaliana nawe hatukuzichanga vizuri karata zetu tulipomkimbilia wan bissaka na kuachana na kieran trippier aliyekuwa na thamani ndogo na uzoefu zaidi. kwa nyakati zile tulimhitaji mchezaji mwenye uzoefu wa mashindano makubwa hii ni kwa sababu tayari klabu ilishampoteza antonio valencia aliyekuwa mchezaji muhimu sana upande wa kulia kwa muda mrefu kabla ya kupatwa na majeruhi, kumsajili aron anayehitaji kukuzwa kiuchezaji (technical problems) wakati tayari tunaye diogo dalot ambaye naye pia anahitaji makuaji ya kisoka haukuwa mpango sahihi.

ngoja tusubirie hii vita ya kieran trippier dhidi ya wan bissaka kama jamaa atakubali kurudi nyumbani
ethan laird ataendelea kupata uzoefu huko aliko (pengine atapelekwa ligi ya daraja la juu)
diogo atauzwa (Ac milan wameonyesha nia ya kuvutiwa na huduma yake)
brandon williams atatolewa mkopo
Tulishindwa kumsajili Trippier akiwa na miaka 28 sasa tunataka kumsajili akiwa na miaka 30 !!! haya ni matumizi mabaya ya akili na muda.
 
Back
Top Bottom