Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Natumiaga MAN U KAMA NATAFUTA MATOKEO TU .

ila kama ku enjoy football natumia Arsenal.

sema kukuba na skills najiona bado sana
Kukaba kuanzia FIFA 20 kumekua miyeyusho. Mimi FIFA 20 na 21 nilianza kuzicheza baadaye kwavile kukaba kulikua kunanishinda.

Nimeanza kucheza kwa kuseti team tactics kwenye defense "Balanced" na attack "Possession" wachezaji wanakua hawaachani sana na hawaendi mbele wote hivyo nabaki na mabeki na CDM anaweza kukimbiza mpira bila kuharibu line ya mabeki.

Barcelona ilinishinda kwakua ni nyepesi mno hata ukiseti hivi bado timu nzima inamove. Beki wa Barcelona ana skills za nyota 5. Skills najua kiasi chake, kumtoka beki kwa skills hakunipigi chenga
 
Wadau eeh, imekuwaje jana Tuanzabe amecheza huku amevaa smart watch ni kwamba refa alikuwa hajakagua wachezaji kabla ya game
20210512_102228.jpg
 
Kukaba kuanzia FIFA 20 kumekua miyeyusho. Mimi FIFA 20 na 21 nilianza kuzicheza baadaye kwavile kukaba kulikua kunanishinda.

Nimeanza kucheza kwa kuseti team tactics kwenye defense "Balanced" na attack "Possession" wachezaji wanakua hawaachani sana na hawaendi mbele wote hivyo nabaki na mabeki na CDM anaweza kukimbiza mpira bila kuharibu line ya mabeki.

Barcelona ilinishinda kwakua ni nyepesi mno hata ukiseti hivi bado timu nzima inamove. Beki wa Barcelona ana skills za nyota 5. Skills najua kiasi chake, kumtoka beki kwa skills hakunipigi chenga

Na mtu anayetumia tactics hua naona mgumu sana kumfunga so we jamaa tuishie humu humu jf.
Hakuna mzee mbwembwe tu mpaka awe ana weza kuitumia Tactical vizuri kuna watu wanatumia Legacy na wanakaba vizuri tu
 
Kukaba kuanzia FIFA 20 kumekua miyeyusho. Mimi FIFA 20 na 21 nilianza kuzicheza baadaye kwavile kukaba kulikua kunanishinda.

Nimeanza kucheza kwa kuseti team tactics kwenye defense "Balanced" na attack "Possession" wachezaji wanakua hawaachani sana na hawaendi mbele wote hivyo nabaki na mabeki na CDM anaweza kukimbiza mpira bila kuharibu line ya mabeki.

Barcelona ilinishinda kwakua ni nyepesi mno hata ukiseti hivi bado timu nzima inamove. Beki wa Barcelona ana skills za nyota 5. Skills najua kiasi chake, kumtoka beki kwa skills hakunipigi chenga
Naona kama unataka kunikimbia kijanja mkuu
 
KWELI HAKIKWEPEKI..HUYU OGS MJINGA SANA..ANATINYIMA RAHA KIJINGA SANA..NANI AKAANGALIE HAO WATOTO SASA UTADHANI WATOTO WA ARSENAL BHANA..pambaf.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ulitaka OGS afanye nini kwa fixture ngumu kama hizi? Yaliyotokea jana ni fundisho kwa yale waliyoyafanya mashabiki wa United ile siku ya game ya Liverpool.

Ubingwa tulikuwa hatubebi, top 4 ni uhakika. Ole kafanya kitu ambacho kocha yoyote angefanya ila kwakuwa hatuna kikosi kipana tulistahili kipigo na hii ni message kwa wamiliki kuwa timu yetu ukitoa kikosi cha kwanza tumeisha. Tunahitaji kufika angalau robo 3 ya kikosi cha City kugombania EPL.
 
nyie wahuni msimu huu muliuchezea sana.
kutoka kulishambulia kombe mpaka kushambuliwa na watoto wadogo uwanjani kwenu

Tulianza vizuri sana.tatizo likaja wachezaji wamechoka sana na wanaumia kila wakati yaani na ndio waliotupa kombe hilo.mpaka saizi tumeanza kuwasahau kama tunawachezaji hao.

Tulichukua ubingwa bila kusajiri mchezaji zaidi ya andrian tu, msimu mzima.

Msimu ujao tunarudi .tumekubali yaishe msimu huu.tunajipanga upya
 
Back
Top Bottom