Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Hakuna hata pasi za faida au nzuri za kwenda mbele anazopiga na yupo slow sana.Huyo dogo mc leo ndio nimejua kilaza
Hakuna hata pasi za faida au nzuri za kwenda mbele anazopiga na yupo slow sana.Huyo dogo mc leo ndio nimejua kilaza
Mkude aliechangamka huyuHakuna hata pasi za faida au nzuri za kwenda mbele anazopiga na yupo slow sana.
tumpe bejefit of the doubt mc.Hakuna hata pasi za faida au nzuri za kwenda mbele anazopiga na yupo slow sana.
Jamaa anajua kujiposition bana angalia alipotoka mpaka kufunga lile bao....
Lkn utacheka watakacho offer kwenye tournaments.Sijui wamefanyaje ila wana watu kibao..hapo bado hujawataja kina Grealish,Sancho,Kane
Lile goli la offside??Javier Hernandez..Little Pea.
Kuna goli aliwaweka Chelsea dakika ya kwanza nilimkubali sana.
Halafu Manguire anaweza kukosekana etithis is one of the most difficulty week in the history of our club, it is warm heartening to have started it with a win.
Vipaji vipo Uingereza ila mafanikio hakuna.Ivi waingereza waliamua kubadilisha mfumo wao wa soka nini maana sasa ivi vipaji kama vyote.....
Hivi Kuna tuzo ya mpiga penati Bora?Imefikia point sasa hawa wachezaji wa team pinzani waende kwa Bruno awape somo la jinsi ya kupiga penati.
Hizi jezi hata mbeya city wanawashinda. Utadhani maji maji fcEl Matador
View attachment 1778923
Saiz Yuko mashimoni huko anapambanna na sururu yakeKitoabu huyu jamaa yuko wapi sahivi?
Kwa hiyo sio rahisi ndio mana mnapewa penalt ili mshinde, halafu mnajisifia mbele ya wanaume kua mmeshinda.Kama penati ni rahisi mbona wanakosa?
Hizi jezi hata mbeya city wanawashinda. Utadhani maji maji fc
kinacho waua ni "individuality" ile kujiona special.Martial na rashiford wamepata opportunities za kucheza na top class figures hapo utd, na kwenye national teams, hawajifunzi kwa nini. experience sio factor ya muda pekee, fursa ni factor inayo carry significant weight. hao watu ukumbuke mpaka sasa wanapewa nafasi ya kuanza mbele ya cavan.
second, hawana uniformity, ni ma volatile kwelikweli kwenye character zao uwanjani.
lakin mpaka kupata penalty. inamaana ni foul..Kwa hiyo sio rahisi ndio mana mnapewa penalt ili mshinde, halafu mnajisifia mbele ya wanaume kua mmeshinda.