Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Hivi ni mimi peke yangu au tuko wengi tunaoshangazwa na upotevu wa AMADI DIALLO aliyesajiliwa kwa mbwembwe pale OT?Tunamhitaji?View attachment 1779661
Msimu umeisha mdau tusubirie msimu ujaoHivi ni mimi peke yangu au tuko wengi tunaoshangazwa na upotevu wa AMADI DIALLO aliyesajiliwa kwa mbwembwe pale OT?
Kama sikosei hata kwenye benchi simuoni kabisa. Mwenye taarifa zaidi kuhusu huyu dogo atufahamishe nini kinamsibu
Lakini tuliaminishwa amesajiliwa kama mbadala wa sancho baada ya dili kufa dakika za majeruhi!Msimu umeisha mdau tusubirie msimu ujao
Vuta subira huyo sancho hasajiliwi hapoLakini tuliaminishwa amesajiliwa kama mbadala wa sancho baada ya dili kufa dakika za majeruhi!
Ni rahisi sana kuandika kuliko kupanga hivyo unavyotaka uwanjani.Kuna kitu kama umegundua Ole anatumia mbinu ambazo haziendani na aina ya wachezaji alionao kikosini. Mechi nyingi anazifanya zionekane ngumu bila sababu ya msingi.
Kwa aina ya wachezaji tulionao inapaswa tucheze offensively zaidi na sio kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza. Tukikaba sana huwa tunashambulika kirahisi sana na tuna ukuta mbovu sana.
Kwa maoni yangu anapaswa awe anamtumia mmoja tu kukaba kati ya Fred au Scott juu namba 8 awe anacheza Paul na juu yake namba 10 shimoni Bruno kama kawaida mwisho Cavani upande mmoja Rashford na mwingine Greewood.
Ulitegemea kabisa Diallo aje aanze kikosi cha kwanza.?Hivi ni mimi peke yangu au tuko wengi tunaoshangazwa na upotevu wa AMADI DIALLO aliyesajiliwa kwa mbwembwe pale OT?
Kama sikosei hata kwenye benchi simuoni kabisa. Mwenye taarifa zaidi kuhusu huyu dogo atufahamishe nini kinamsibu
Kaasist janaRashford siku hizi simpendia asee jinga sana
Tumsifie na mpiga pass kwa hili goli aisee3rd goal. CavanView attachment 1778898
Kama watanzania tuHawa waingereza mwisho miaka 25 tu. Huwa wanaanza moto ila usiwaamini kufika mbali. Sina takwimu za kitafiti kutetea hoja yangu ila sababu kubwa nahisi wanakuzwa mno na vyombo vyao vya habari kuliko uwezo wao halisi.
Kuna kipindi (2008 ~ 2012) walikuwa na Tom Cleverley, Jack Wilshere, Daniel Welbeck, Daniel Sturridge, Theo Walcott, Jack Rodwell, n.k na wote hawa walikuwa wamezaliwa mwaka 1989 ~ 1992 sawa sawa na hawa wa sasa waliozaliwa mwaka 1999 ~ 2002. Ila sasa hivi wapo vitimu vidogo hata namba hawana.
Mkude ndiyo CDM pekee kwenye ligi ya bongo anayepiga forward passes nyingi.Mkude aliechangamka huyu
Mech tatu zimetutafuna
Hasa ile ya Sheffield United
Kuna mtu anaitwa Victor Lindelof, the softest defender i've ever seen
Jamaa hana hata hurumaUlitegemea kabisa Diallo aje aanze kikosi cha kwanza.?
Wakati kule Itally alikuwa hajafikisha hata mechi tano za kikosi cha Kwanza.
Na Dogo ndio kwanza ana miaka 18.
Sent using Jamii Forums mobile app


Maguire jeHana viwango vya kupiga Man United.
Hakuna usajili bora pale Utd km wa Bruno since SAF left the club, huyu hakuna kikosi ambacho angekosa namba tangu kuanzishwa kwa club, hata kama angekuwa aanzi basi huyo ambaye angeanza kazi angekuwa nayo.