Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Hahaha Fred kachafua sana leo .Kuna Forum sijui ni ubaguzi au ni nini watu wengi wanam-rate McTominay mbele ya Fred..hii sio sawa kabisa.
Hahaha Fred kachafua sana leo .Kuna Forum sijui ni ubaguzi au ni nini watu wengi wanam-rate McTominay mbele ya Fred..hii sio sawa kabisa.
AKiendelea na hii form mpaka mwisho wa msimu, kuna uwezekano Gareth Southgate akamchukua kwenye EurosMsimu ujao Greenwood anaweza kua na finishing kubwa kuliko ya sasa kwenye Fifa
England wana watoto walio moto sio poaAKiendelea na hii form mpaka mwisho wa msimu, kuna uwezekano Gareth Southgate akamchukua kwenye Euros
Lete matokeoSisi Aston Villa tunasema hivi, hiyo nafasi ya pili ni ya Chelsea sio nyie NYUMBU.View attachment 1778832



















Kuna kitu kama umegundua Ole anatumia mbinu ambazo haziendani na aina ya wachezaji alionao kikosini. Mechi nyingi anazifanya zionekane ngumu bila sababu ya msingi.Tungekuwa serious kidogo tu,tungebeba EPL msimu huu..
Southgate haeleweki mtu anaweza kua kwenye form ila akamtemaAKiendelea na hii form mpaka mwisho wa msimu, kuna uwezekano Gareth Southgate akamchukua kwenye Euros
Martial anakuwa anakabana kupata namba na Rashford..akizembea ni benchi tu mkuu..hakuna kuremba...Next season Ole inabidi awebold zaidi.Ni kweli ila Martial dah sidhani kama kuna mabadiliko kutoka kwake Cavani na Greenwood first choice.
Yaani waache kujifunza kw wachezaji wanaoshinda magoli ya video,waende kw huyo mchezaji zwazwa anachojua ni kupga penalt tu.Imefikia point sasa hawa wachezaji wa team pinzani waende kwa Bruno awape somo la jinsi ya kupiga penati.
TrueKuna kitu kama umegundua Ole anatumia mbinu ambazo haziendani na aina ya wachezaji alionao kikosini. Mechi nyingi anazifanya zionekane ngumu bila sababu ya msingi.
Kwa aina ya wachezaji tulionao inapaswa tucheze offensively zaidi na sio kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza. Tukikaba sana huwa tunashambulika kirahisi sana na tuna ukuta mbovu sana.
Kwa maoni yangu anapaswa awe anamtumia mmoja tu kukaba kati ya Fred au Scott juu namba 8 awe anacheza Paul na juu yake namba 10 shimoni Bruno kama kawaida mwisho Cavani upande mmoja Rashford na mwingine Greewood.
kama alivyomfanyia Grealish😀😀Southgate haeleweki mtu anaweza kua kwenye form ila akamtema
wenye uhakika wa kwenda euros ni Foden na Mount nadhani .England wana watoto walio moto sio poa
SAKA
FODEN
MOUNT
GREENWOOD
Kumbuka Villarreal hatujawahi fungana hata kwa goli moja Ni Mwendo wa bila mechi zote tanoKilichobaki ni kumchinja Liverpool OT na kuwachakaza manyambizi wa njano (Villareal)
Hawa waingereza mwisho miaka 25 tu. Huwa wanaanza moto ila usiwaamini kufika mbali. Sina takwimu za kitafiti kutetea hoja yangu ila sababu kubwa nahisi wanakuzwa mno na vyombo vyao vya habari kuliko uwezo wao halisi.England wana watoto walio moto sio poa
SAKA
FODEN
MOUNT
GREENWOOD
Basi mwambie tu atoe Hilo goli la penati iwe 1:2Watu wamesomea mpira miaka ,wanauzoefu na u referee zaidi ya miaka 10 , wameshachezesha mechi zaidi ya 100 ,kuna camera kila kona ,vibendela kila kona ,var zinaangali ..
Wakaamua penalty ....!
Wewe mchoma mahindi wa manzese unapata wapi ubavu wa kusema sio ..
Jitafakari kijana ..

Hakuna ubaguzi hapo mkuu, mpira huwa unachezwa wazi kila mtu anaona.Kuna Forum sijui ni ubaguzi au ni nini watu wengi wanam-rate McTominay mbele ya Fred..hii sio sawa kabisa.
Hata mm nikipewa kikosi nitakipanga hivi, kila siku nmekuwa nikiwaambia watu hivi hivi.Kuna kitu kama umegundua Ole anatumia mbinu ambazo haziendani na aina ya wachezaji alionao kikosini. Mechi nyingi anazifanya zionekane ngumu bila sababu ya msingi.
Kwa aina ya wachezaji tulionao inapaswa tucheze offensively zaidi na sio kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza. Tukikaba sana huwa tunashambulika kirahisi sana na tuna ukuta mbovu sana.
Kwa maoni yangu anapaswa awe anamtumia mmoja tu kukaba kati ya Fred au Scott juu namba 8 awe anacheza Paul na juu yake namba 10 shimoni Bruno kama kawaida mwisho Cavani upande mmoja Rashford na mwingine Greewood.