Kaisema kabla mpira haujapigwaGreenwood super turn
Daah kumsikiliza peter drury raha sana
Katolewa [emoji3][emoji3][emoji3]Kaisema kabla mpira haujapigwa
Watu wamesomea mpira miaka ,wanauzoefu na u referee zaidi ya miaka 10 , wameshachezesha mechi zaidi ya 100 ,kuna camera kila kona ,vibendela kila kona ,var zinaangali ..Mkuu ile penalty kwanza haikuwa halali kama umaweza kureview review tena. We kubali umefungwa jiandae na mechi yako na nyukasto ya Chelsea huwezi [emoji3][emoji3]