The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Sasa Greenwood asiende ataenda nani sasa.wenye uhakika wa kwenda euros ni Foden na Mount nadhani .
And they totally deserve
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Greenwood asiende ataenda nani sasa.wenye uhakika wa kwenda euros ni Foden na Mount nadhani .
And they totally deserve
Ila hawa wa sasa kdg wana uwezo wa kweli kuliko hao ukimuondoa Wilshere.Hawa waingereza mwisho miaka 25 tu. Huwa wanaanza moto ila usiwaamini kufika mbali. Sina takwimu za kitafiti kutetea hoja yangu ila sababu kubwa nahisi wanakuzwa mno na vyombo vyao vya habari kuliko uwezo wao halisi.
Kuna kipindi (2008 ~ 2012) walikuwa na Tom Cleverley, Jack Wilshere, Daniel Welbeck, Daniel Sturridge, Theo Walcott, Jack Rodwell, n.k na wote hawa walikuwa wamezaliwa mwaka 1989 ~ 1992 sawa sawa na hawa wa sasa waliozaliwa mwaka 1999 ~ 2002. Ila sasa hivi wapo vitimu vidogo hata namba hawana.
huyo dogo ushawahi kumuona?
Kwahiyo mkuu hata wewe unam-rate Scott mbele ya Fred?Hakuna ubaguzi hapo mkuu, mpira huwa unachezwa wazi kila mtu anaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes bila shaka, jamaa yuko proactive na mgumu sana kuliko Fred japo hawajapishana sn.Kwahiyo mkuu hata wewe unam-rate Scott mbele ya Fred?
Kwamba Tominay anakichafua zaidi ya Fred?
Historia haina nafasi kwenye mipango madhubuti na ubora..Kumbuka Villarreal hatujawahi fungana hata kwa goli moja Ni Mwendo wa bila mechi zote tano
Bado mkuu ngoja nitamfatilia.huyo dogo ushawahi kumuona?
ni hatari sana
akikujib nitag
Kama penati ni rahisi mbona wanakosa?Yaani waache kujifunza kw wachezaji wanaoshinda magoli ya video,waende kw huyo mchezaji zwazwa anachojua ni kupga penalt tu.
ndio hapo uzoefu una play part. cavan ameshacheza at the top stage for a while so he knows. akina rashford na martial badoMartial na Rashid wanatatizo la kushindwa kumanage pressure ya kuhitajika kufunga. badala ya kucheza mpira wanafilia kufunga. ukimuangalia cavan anavyocheza waweza sema hafai kukaa pale mbele, hana haraka, he is enjoying kuwa fit and playing some passing football. when the real chance to score comes he takes it, and scores.
Jamaa anajua kujiposition bana angalia alipotoka mpaka kufunga lile bao....Cavan mtu mbadi sana
Huyo dogo mc leo ndio nimejua kilazaKuna Forum sijui ni ubaguzi au ni nini watu wengi wanam-rate McTominay mbele ya Fred..hii sio sawa kabisa.
Ivi waingereza waliamua kubadilisha mfumo wao wa soka nini maana sasa ivi vipaji kama vyote.....England wana watoto walio moto sio poa
SAKA
FODEN
MOUNT
GREENWOOD
Martial na rashiford wamepata opportunities za kucheza na top class figures hapo utd, na kwenye national teams, hawajifunzi kwa nini. experience sio factor ya muda pekee, fursa ni factor inayo carry significant weight. hao watu ukumbuke mpaka sasa wanapewa nafasi ya kuanza mbele ya cavan.ndio hapo uzoefu una play part. cavan ameshacheza at the top stage for a while so he knows. akina rashford na martial bado
Tena zaidi ya kilazaHuyo dogo mc leo ndio nimejua kilaza
Interesting observationMartial na Rashid wanatatizo la kushindwa kumanage pressure ya kuhitajika kufunga. badala ya kucheza mpira wanafilia kufunga. ukimuangalia cavan anavyocheza waweza sema hafai kukaa pale mbele, hana haraka, he is enjoying kuwa fit and playing some passing football. when the real chance to score comes he takes it, and scores.
Sijui wamefanyaje ila wana watu kibao..hapo bado hujawataja kina Grealish,Sancho,KaneIvi waingereza waliamua kubadilisha mfumo wao wa soka nini maana sasa ivi vipaji kama vyote.....