Siyo nawadharau as in ni vibonde ila mi niliamini chelsea alitakiwa kumaliza game ile first leg kwakua Madrid alicheza formation hata haijui hana uzoefu nayo kutokana na majeruhi.Mdau usiwadharau hao kwangu mimi ndio timu pekee pale uingereza inayoweza kuhimili mashambulizi dk ya kwanza mpaka tisini na ukaondoka bila kupata bao
Leo akicheza 4 3 3 kazi haitakua nyepesi


