Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huko Majuu hawanaga FFU kusambaratisha wajinga?
"Our fans are passionate about Manchester United, and we completely acknowledge the right to free expression and peaceful protest." - Manchester United

Naweza kusema Africa ndiyo tunaongoza kwa chuki, ubaguzi, kunyima haki za watu na kila kitu ila tunawaona sana wazungu ndiyo racists na binadamu wabaya kwakuwa wana rangi tofauti.

Haya yanatokana na jinsi Africa inavyowajenga watoto vizazi hadi vizazi and nothing will ever change that.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mnaonaje
Screenshot_2021-05-02-22-40-44-0067236595.jpg
 
Binafsi sina shida na City tukimpa ubingwa kesho. Japo nitafurahi zaidi kama tukimpoteza maboya L'pool ili asishiriki michuano ya Ulaya msimu ujao.

Msimu wa mwaka 2009/10, Chelsea alichukua ubingwa kwa points 86 wakati sisi United tulikuwa na points 85. City alitusaidia kumfunga Chelsea mechi zote mbili home & away.

L'pool wakatufanyia roho mbaya Steven Gerrard alitoa boko makusudi kwa kumpasia Didier Drogba ili Chelsea washinde wabebe ubingwa. Tulikuwa na utofauti wa point moja tu kama mechi ingeisha sare sisi tungebeba kombe.
Kachukueni Yale yakwenu kule kabatini mbebe..
 
Hivi mechi na Liverpool itachezeka lini?

Hii ni ratiba ya timu zote mbili.

May, 6 Roma vs United - EL

May, 8 L'pool vs Soton - PL

May, 9 Aston Villa vs United - PL

May, 12 United vs Leicester - PL

May,16 West Brom vs L'pool - PL

May, 19 United vs Fulham
Burnley vs L'pool

May, 23 L'pool vs Palace
Wolves vs United

May, 26 EL final

* PL - Premier league
EL - Europa league
 
Back
Top Bottom