Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Tupo tayari kuwapa kipigo
Wanaamini katika haki. Hata wanavyondolewa ni kwa utaratibu maalumu sio kama huku kwetuHuko Majuu hawanaga FFU kusambaratisha wajinga?
Huko Majuu hawanaga FFU kusambaratisha wajinga?
Kauli za wadau wa kubeti hzWahuni kama wote nje ya uwanja
ingekuwa bongo virungu vingetembezwa hapo ile mbayaHuko Majuu hawanaga FFU kusambaratisha wajinga?
Boss mnatishaje sasa wakati mechi hata haijaanza bado🤔🤔Tunatisha View attachment 1771387
Wakifanikiwa kuleta vurumai hadi mechi iahirishwe ndio itakuwa bora zaidi Mana ujumbe utaenda na machungu ya kutosha!Waandamane lakini wasizuie mbungi lisipigwe..sitawaelewa kabisa hawa wazungu.
GGMU
Mnajizungusha zungusha kukwepa kipigo cha LivaWahuni kama wote nje ya uwanja
Wenzetu ni binadamu mkuu hawaamini katika maumivu kwa watu wao.Huko Majuu hawanaga FFU kusambaratisha wajinga?
Nampeleka mtu europa leo subiri uoneMnajizungusha zungusha kukwepa kipigo cha Liva
Huu ndio ustaarabu wako mdauHuko Majuu hawanaga FFU kusambaratisha wajinga?
Wajinga wepi hao? Wamefanya nini hadi uwaite wajinga?Huko Majuu hawanaga FFU kusambaratisha wajinga?
Hii ngoma ngumu sana kwa leo mpaka sasa haieleweki mdau ngoja tusubirie mpaka saa moja na nusu tuone watakuja na habari ganiAny updates kuhusu match day
Nimeona kuna mtu kaandika mechi 2130hrsHii ngoma ngumu sana kwa leo mpaka sasa haieleweki mdau ngoja tusubirie mpaka saa moja na nusu tuone watakuja na habari gani