Nilisema hapa baada ya lile sakata la esl wamarekani wote watatimuliwa kwenye vile vilabu sita....Uko Lowry hotel na Old Traford inasemakana mashabiki wengi wanandamana #GlazersOUT
Pia kuna breaking news baadhi ya mashabiki wameingia ndani ya uwanja wa Old Traford kuonyesha msimamo wa #GlazersOUT
Hope polisi wanatafanikiwa kutuliza hali utulivu urejee
Ila all in all mashabiki wa UTD ni nomaa ktk kukinukisha, familia ya woordward wanawatambua vyema, sasa zamu ya #Glazers
Watang'oka tu mdau hapo bado liva aseno
Wahuni kama wote nje ya uwanjaGame linaweza kuahirishwa leo. Maana wametangaza kusogeza muda (kick off delayed), bila kutaja muda mpya wa kuanza.
Baada ya atlanta kusuluhuInter milan wametangazwa kuwa mabingwa wa serie A kwa msimu wa 2020/2021
Tukutane baada ya mechiUtabiri wako siku zote huwa unaenda tofauti sana.
Afadhali.Inter milan wametangazwa kuwa mabingwa wa serie A kwa msimu wa 2020/2021