super mimi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 223
- 173
Ila in football naona bado hata ndoo tunaweza kunyanyua inawzekana pia
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ha ha haAlaaaa!!!.
Wamtafutie na daktari wake rasmi kabisa.
Mkuu kwann umeamua kutumia jina la huyo kocha wa wapinzani wetu wa jadi?In 302 games from Moyes to Mourinho, Man United scored 5+ goals in a game twice. In 144 games under Solskjaer, it’s now happened nine times.
Huu Utopolo unapambaania Europa wanaume tunabeba UEFA.
napenda nihukumiwe kwa ninachokiandika na si username ninayotumia ndio maana nabadili majina mara kwa mara. kuna tabia imezuka humu ndani ya JF kupeana credit ovyo kwa sababu tu ya nguvu ya username (ndio naipinga kampeni hiyo kwa njia hii)Mkuu kwann umeamua kutumia jina la huyo kocha wa wapinzani wetu wa jadi?
Fred>>McTominayfred ni mchezaji bora mbele ya scott mctominay, kwa mara ya kwanza nilifanikiwa kuligundua juzi tulipocheza na As roma baada ya kumchunguza scott, licha ya kuwa na mechi mbovu siku za karibuni bado fred anabaki kuwa na mchango bora ndani ya kikosi (hapo ndipo unaposhangazwa na takwimu). Nimegundua kuna tabia ya upendeleo imezuka ndani ya mashabiki na hata benchi la ufundi juu ya wachezaji hao wawili, scott analindwa sana kuliko fred labda ni kwa sababu mmoja tumemsajili kwa dau kubwa hivyo basi tulijawa na matarajio makubwa zaidi ya haya anayotupa kila siku uwanjani.
hawa wajinga newcastle united ndio walitaka kutuuzia sean longstaff kwa paundi millioni 50 au kwa sababu ni muingereza?
View attachment 1770143
Tominay ni mtu na nusu achana na hizi mechi 2,3 zilizopita ambazo hajawa kwenye form. Ukicheki overall tominay ni noma mzee.Fred>>McTominay
Sahau iloNa mkifungwa na Liverpool, Rasmi mnamtangaza CITY bingwa EPL 2020/201.
Kesho tunampeleka europa rasmiNa mkifungwa na Liverpool, Rasmi mnamtangaza CITY bingwa EPL 2020/201.
Binafsi sina shida na City tukimpa ubingwa kesho. Japo nitafurahi zaidi kama tukimpoteza maboya L'pool ili asishiriki michuano ya Ulaya msimu ujao.Na mkifungwa na Liverpool, Rasmi mnamtangaza CITY bingwa EPL 2020/201.
Jombaa, nyie mmeisha chukua kombe haijalishi matokeo ya kesho. Huwa sinaga kinyongo na City ila wale watu wenye roho mbaya L'pool tokea mwaka 2010 Steven Gerrard alipotufanyia ule uchoko sijawahi kuwasamehe mpaka leo.Inapendeza sana kuona Man U inaenda kuamua tena ubingwa wa Man city Kama ambavyo iliamua msimu wa 2018/2019 guys kesho mkifungwa na Liverpool hata 1 itapendeza Sana kumbukeni tunatoka Jiji laManchester wote.
itakuwa bwana gerrard ana uhusiano wa karibu na chelsea, unakumbuka kituko chake dhidi ya demba ba msimu wa 2014Binafsi sina shida na City tukimpa ubingwa kesho. Japo nitafurahi zaidi kama tukimpoteza maboya L'pool ili asishiriki michuano ya Ulaya msimu ujao.
Msimu wa mwaka 2009/10, Chelsea alichukua ubingwa kwa points 86 wakati sisi United tulikuwa na points 85. City alitusaidia kumfunga Chelsea mechi zote mbili home & away.
L'pool wakatufanyia roho mbaya Steven Gerrard alitoa boko makusudi kwa kumpasia Didier Drogba ili Chelsea washinde wabebe ubingwa. Tulikuwa na utofauti wa point moja tu kama mechi ingeisha sare sisi tungebeba kombe.
Steven Gerrard kama akiwa ktk situation ya Manchester United achukue ubingwa au L'pool wafungwe washuke daraja. Jamaa atachagua wafungwe na washuke daraja ila sio kinyume chake. L'pool wana ushindani wa kitoto.itakuwa bwana gerrard ana uhusiano wa karibu na chelsea, unakumbuka kituko chake dhidi ya demba ba msimu wa 2014