Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Wamemkosea sana heshima Rooney hawa..
Na Psg walimfunga 1 bilaYaah,,asipobeba msimu huu atakuwa mjinga sana..Hawajabeba tokea kipindi kile cha Hazard,PSG wanawaburuza tu.
Wanaangalia muda uliostafu Soka.Wamemkosea sana heshima Rooney hawa..
Lingard
Aende tu
Bye byeLingard
Deal done tayari ame-sign mkataba wa miaka 5yes, bayern wanaelekea kufikia makubaliano na julian pamoja na kulipa fidia ya takribani euro millioni 30 ya kuvunja mkataba wake.
sisi man utd hatuna timu ya kupambana na real madrid, jana mulikuwa munatengeneza triangle za hatari pindi munapoizika pressing yao.Oyaa nyie mnaweza kutowa draw na Madirid Tena Bernabeu?
Sasa ngoja waje darajani...
Unaona ulivyotahira kwa iyo pale unaona ndio bernabeu?Oyaa nyie mnaweza kutowa draw na Madirid Tena Bernabeu?
Sasa ngoja waje darajani...
sisi man utd hatuna timu ya kupambana na real madrid, jana mulikuwa munatengeneza triangle za hatari pindi munapoizika pressing yao.
kiufundishaji bwana thomas tuchel amefanya mabadiliko mazuri ndani ya muda mfupi
- pasi za haraka
- mabadiliko ya haraka ya mpira
- mara kibao muliwafanyia counter attack za kihuni
Unaona ulivyotahira kwa iyo pale unaona ndio bernabeu?
Man city pekee ndio waliweza kumchapa Madrid nje ndan tena pale pale Santiago bernabeu ...
Nyie mnakuja kuvunjwa hapo darajani next week ..
Nawataman hao Madrid tukutanr final ...






