ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
Ule uwanja wa mazoezi ndio unasema bernabeuOyaa nyie mnaweza kutowa draw na Madirid Tena Bernabeu?
Sasa ngoja waje darajani...
Ule uwanja wa mazoezi ndio unasema bernabeuOyaa nyie mnaweza kutowa draw na Madirid Tena Bernabeu?
Sasa ngoja waje darajani...
Ngj akishasainiwa uone, ndo utajua kwnn miwa haipandwi baharini.
Bye byeLingard
Pass nyingi bila magoli ni kazi bure..yule Werner hata bure nikipewa siwezi kumleta United.sisi man utd hatuna timu ya kupambana na real madrid, jana mulikuwa munatengeneza triangle za hatari pindi munapoizika pressing yao.
kiufundishaji bwana thomas tuchel amefanya mabadiliko mazuri ndani ya muda mfupi
- pasi za haraka
- mabadiliko ya haraka ya mpira
- mara kibao muliwafanyia counter attack za kihuni
Werner ndie anayeturudisha nyuma kwa chance anazokosa tho umuhimu wke yupo tofauti na kina tammy n giroud, pace yake ndio inamfanya mara nyingi aanze mbele yao hao anaweza asifunge ila akaasisstPass nyingi bila magoli ni kazi bure..yule Werner hata bure nikipewa siwezi kumleta United.
Though credit kwa TT..pattern zinatembea sana pale katikati na pembeni.
I'm wondering why TT anaendelea kumtumia tu...Chelsea jana first half ilibidi wawe wanaongoza goli tatu hivi.
Hili tatizo pia sisi tutakuwa nalo tena msimu ujao..hatuna striker wa kutumainia.