ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
Si mpaka tufungwe na liva halafu wewe umfunge palace.....Mimi sijafurahia sare yenu leo. Sitaki muanze kusema kuwa mmetusaidia sisi City kuchukua ubingwa.
Si mpaka tufungwe na liva halafu wewe umfunge palace.....Mimi sijafurahia sare yenu leo. Sitaki muanze kusema kuwa mmetusaidia sisi City kuchukua ubingwa.
Wazungu nao uwezo Wa kufikiri ni Mdogo!Sote tunajua mashabiki ndio kìla kitu kwenye biashara ya soka....
Asa ukitembea na bango kwamba glazers out , alafu bado unaingia uwanjani, jezi unanunua, mechi unaangalia na mambo yote ya kuingizia timu kipato unayafanya, inafaida gani sasa kutembea na mabango.
Wakigomea kuisupport ndio kutakuwa na effect sio kutembea na mabango "Glazers out"....
Huu ujumbe umeelekezwa kwa nani? Maana kama mmiliki humtaki nani akuskilize?
Teh teh tehIyo caption![]()
Ndio namba yako bidada, nipe basiUlitaka ww ndio upate namba?
Hili ni jukwaa la timu ambayo haina uwanja wala hati miliki ya jina lake a.k.a chelsea?Mzozano wa Rais wa UEFA na Rais wa Real Madrid unaweza kutupa fursa nzuri ya kushinda kesho kwa sababu inavyoonekana, kocha wa Real Madrid na wachezaji hawako settles kabisa. Matokeo ya hivi karibuni kwenye Laliga ni mojawapo ya evidence kwamba Madrid hakuko shwari
Mzozano wa Rais wa UEFA na Rais wa Real Madrid unaweza kutupa fursa nzuri ya kushinda kesho kwa sababu inavyoonekana, kocha wa Real Madrid na wachezaji hawako settles kabisa. Matokeo ya hivi karibuni kwenye Laliga ni mojawapo ya evidence kwamba Madrid hakuko shwari



yes, bayern wanaelekea kufikia makubaliano na julian pamoja na kulipa fidia ya takribani euro millioni 30 ya kuvunja mkataba wake.Nagelsmann ndio top choice kwa Bayern kama Flick ataondoka
Jukwaa la Chelsea limefutwa ??Mzozano wa Rais wa UEFA na Rais wa Real Madrid unaweza kutupa fursa nzuri ya kushinda kesho kwa sababu inavyoonekana, kocha wa Real Madrid na wachezaji hawako settles kabisa. Matokeo ya hivi karibuni kwenye Laliga ni mojawapo ya evidence kwamba Madrid hakuko shwari
VERY SORRY, NIMEJIROPOKEA KUMBE SIO KWANGUJukwaa la Chelsea limefutwa ??
Alaaaa!!!.Eric Bailly has signed a new deal at Manchester United until 2024, with the option of an extra year."View attachment 1765002
Huu ndiyo upumbavu wa united.Eric Bailly has signed a new deal at Manchester United until 2024, with the option of an extra year."View attachment 1765002
Mdau wale lille msimu huu wana jambo laoAlaaaa!!!.
Wamtafutie na daktari wake rasmi kabisa.
Yaah,,asipobeba msimu huu atakuwa mjinga sana..Hawajabeba tokea kipindi kile cha Hazard,PSG wanawaburuza tu.Mdau wale lille msimu huu wana jambo lao
Lyon 2 Lille 1......halftime
Lyon 2 Lille 3......fulltime
Kwa hii spana mkononi eti unaona "with an option to extend for one year"..upuuzi mtupu.Huu ndiyo upumbavu wa united.
Hawataki kutoa pesa kununua beki mwingine hawa