Kapata freeheader ila alichokifanya daaah rio na vidic tutawamis sana.....Maguire kwa hiyo anajua kukaba ila akifika goli la mpinzani hajui cha kufanya
Nimeshangaa sana aise.Dogo ni hopeless tu!Hivi Daniel James anapataje namba kabisa huyu dogo? Dah
Link ya kuangalia mechi iko wapi sasa
Tuliza mshono bidadaHii game mnakalia ukuni mda si mrefu NYUMBU nyie
Usajili wa ovyo sana huuHivi Daniel James anapataje namba kabisa huyu dogo? Dah
Hivi Daniel James anapataje namba kabisa huyu dogo? Dah



Halafu mbele ya van de beek,huyu dogo tunatafuta sababu za kumfukuza united.Hivi Daniel James anapataje namba kabisa huyu dogo? Dah