Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Jesse Lingard is yet to make a decision about his future but his preference is to play Champions League football next season [ESPN]★

#GGMU

manutd |
 
★Representatives have made it clear Jesse Lingard will not be used as makeweight in any deal for Declan Rice if #mufc firm up their interest in the West Ham midfielder. Formal talks have not yet taken place with either United or West Ham [ESPN]★

#GGMU

manutd |
 
Timu itakayo msajili huyu bwana mdogo wana kazi kubwa sna bila ubishi wa ole pogba alikuwa juu ya timu yetu ila kale ka jamaa ni noma kampasua pogba pasua na wakala wake saiv kimya na bench anakaa au kutoka
IMG_2001.jpg

IMG_1999.jpg
 
Bado hajafukuzwa tu

Kufukuzwa kwa sosha timu itakuwa inachota maji kwenye neti haraka ya nn wakat kila kombe lipo pale acha ajenge timu aongeze usajili tu wa maana kila siku ntasimama na kocha yoyote akiwa na mbinu mbovu ntasema sipend fukuzafukuza
 
Martial.
Huyu jamaa ni kwamba ana psychological issues.??
Ona hapa.

Kila anapoletwa mchezaji ambae ana compete nae nafasi, performance yake huwa inashuka.

1.Kabla ya Sanchez kuja, mambo yalikuwa mazuri. Ila baada ya hapo.......

2. Kabla ya Cavan kuja, kuna watu kwa ujinga wetu tuliamini hakuna haja ya Harry Kane, Martial anatutosha. Ila sasa kilichotokea msimu huu ni aibu.

3........hii ya tatu ni ujio wa zlatan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
First choice ya Gareth ni Jordan Pickford, Nick Pope na Henderson.
Kuelekea michuano ya Euro Jordan atakuwa #1 ila baada ya hapo Dean atachukuwa nafasi. Namuona pia akichukua nafasi ya David Degea.

Unapokuwa golikipa wa timu kubwa kama Manchester United moja kwa moja unaaminika ktk timu yako ya taifa. (Trophies - Winning mentality)
 
Martial.
Huyu jamaa ni kwamba ana psychological issues.??
Ona hapa.

Kila anapoletwa mchezaji ambae ana compete nae nafasi, performance yake huwa inashuka.

1.Kabla ya Sanchez kuja, mambo yalikuwa mazuri. Ila baada ya hapo.......

2. Kabla ya Cavan kuja, kuna watu kwa ujinga wetu tuliamini hakuna haja ya Harry Kane, Martial anatutosha. Ila sasa kilichotokea msimu huu ni aibu.

3........hii ya tatu ni ujio wa zlatan.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake hawezi competition sasa tutaishije na striker mmoja tu timu kubwa kama United.

Sehemu pekee ambayo hawezi kucompete ni kwa mkewe tu
 
Kuelekea michuano ya Euro Jordan atakuwa #1 ila baada ya hapo Dean atachukuwa nafasi. Namuona pia akichukua nafasi ya David Degea.

Unapokuwa golikipa wa timu kubwa kama Manchester United moja kwa moja unaaminika ktk timu yako ya taifa. (Trophies - Winning mentality)
Nafikiri vingi vinambeba ila Pickford ni proactive kuliko Dean
 
Bailly haijalishi ana ubora gani lakini kwa hali aliyonayo ni heri auzwe.

Hana msaada wowote kwenye team backup defender muda wote yuko kitandani ikitokea chaguo la kwanza wanapata injury Bailly hatakuwa na msaada wowote
Jones msaada ndio anao
 
Back
Top Bottom