Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Sasa Spurs watukome J2
Rashford nayo penaltiBasi futa penalt mkuu.afu iliyobaki siri yako
Sugua gaga!Bila penalti nyie ni bure kabisa
kwa kuliangalia kundi la vijana liliopo pale klabuni kwa sasa unaweza kujijengea imani na matumaini ya kwamba yajayo yatakuwa na neema, hata hii sheria mpya iliotokanwa na vugu vugu la Brexit haitotuathiri sana kwenye eneo la uwekezaji wa soka la vijana hii ni kwa sababu tayari tunao vijana wa kutosha kutoka nchi zilizo nje ya Uingereza tuliowasajili siku za karibuni.Siku Hanibal Mejbir atakapopewa first debut hata Bruno tutamsahau.
alikuwa anapata matokeo yasiokuwa yakuendelea(consistency), matokeo hayo yalichangizwa zaidi na ukosefu wa wachezaji wengi wenye ubora ndani ya kikosi chake.Kuna kipindi Arsene Wenger alikuwa anapata matokeo huku beki wa kati akiwa Johan Djallouh
tukiachana na ishu ya chemistry bado tuna matatizo ya mchezaji mmoja mmojaMan United ya leo inakikosi kikubwa ila bado haijachanganywa vizuri kama United ingekuwa chini ya Arsene Wenger huenda asingesajili mchezaji yoyote dirisha hili maana watu wakuwatumia anavyotaka wapo.
Yupo bize na sajili dogo dogo kila mwakaSocha mambo ya kujenga timu sasa imetosha..Next season ni kwenda kwa miguu miwili kwenye EPL na Champions League na sio kusema kwenye press kuwa "We are not there yet" au "We are not title contenders anyway".
Angalia yakuongeza ili tulifanikishe hilo next season.
Yule mzee alikua na maajabu sanaSiku Hanibal Mejbir atakapopewa first debut hata Bruno tutamsahau.
Man United ya leo inakikosi kikubwa ila bado haijachanganywa vizuri kama United ingekuwa chini ya Arsene Wenger huenda asingesajili mchezaji yoyote dirisha hili maana watu wakuwatumia anavyotaka wapo.
Kuna kipindi Arsene Wenger alikuwa anapata matokeo huku beki wa kati akiwa Johan Djallouh
Pale mbele kwa mtazamo wangu mimi tunahitaji striker kama Haaland,,na right winger kama Sancho..then ;tukiachana na ishu ya chemistry bado tuna matatizo ya mchezaji mmoja mmoja
hii safu yetu ya ushambuliaji inanipa ukakasi wa kuwa na matumaini ya kwamba msimu ujao tunaweza kugombania makombe ya ligi tofauti, hii ni kwa sababu tuna kundi kubwa la wachezaji ambao wanafanya makosa mengi ya kiuchezaji mara kwa mara pale mbele.
ukiwaangalia wachezaji wengineo si kwamba hawafanyi makosa pindi wanapocheza bali makosa yao mara nyingi huwa ni machache yanayoweza kufichika kwa mazuri wanayoyafanya. Kwa mfano hao jamii ya haaland, salah na mbappe si kwamba hawakosei kwa kila maamuzi wanayoyafanya ila kama wangelikuwa na makosa mengi kama ya rashford, greenwood na martial wasingelikuwa na jeuri ya kufunga magoli 34 kwenye mechi 37.
lakini ukija kwetu sisi mfano ni mara ngapi unashuhudia marcus rashford anakimbia na mpira au kufanya uamuzi wa kupiga mpira eneo husika bila ya kuruhusu mawasiliano kati ya mguu wake na ubongo wake?
hapo sijamtolea mfano greenwood, martial na yule mwanariadha daniel james na cha kusikitisha tukio hilo atalirejea tena mara kwa mara mpaka unafikia hatua unajiuliza hivi hawa wachezaji wetu wanafanya mazoezi kweli huku wakiongozwa na mwalimu.
kama utaamua kuwahukumu wachezaji wetu (james, martial, rashford, greenwood) kwa kuangalia benefactions zao eneo la (assist na goals) bila ya shaka utaondoka na kauli moja tu ya "wachezaji wetu ni sehemu ya kundi la wachezaji wanaofanya vizuri sana duniani"
kama utaziangalia factors nyenginezo bila ya shaka utaondoka na kauli hii "ni bora tuanze upya kiuwekezaji eneo la safu ya ushambuliaji na hawa waliopo wawe backup".
kwa kuwa Ole ameonekana kushindwa kuwapika na kuwakaripia hao vijana na kuwa na makali kama haya tunayoyashuhudia kwa wachezaji wengine mfano sterling au forden, mimi napendekeza tuanze upya kiuwekezaji kwenye safu ya ushambuliaji kwa sababu hawa waliopo hawanipi matumaini ya kuwa siku moja watakuwa na viwango visivyobadilika
ina maana kwenye mechi takribani 330 washambuliaji wetu muhimu kwa pamoja wamefunga magoli 110, Je wenzangu bado muna imani na hawa wanadamu?
- leo hii marcus rashford ana magoli 54 kwenye mechi 172 za ligi kuu ndani ya misimu takribani 6, kama utetezi wake ni kucheza pembeni basi hata mbappe na salah wanacheza pembeni na wana takwimu nzuri za magoli na assist zaidi ya marcus.
- antony martial ana magoli 56 kwenye mechi 167 naye amecheza takribani misimu 6 ya ligi kuu
Bado hajafukuzwa tutukiachana na ishu ya chemistry bado tuna matatizo ya mchezaji mmoja mmoja

Sancho mchovuPale mbele kwa mtazamo wangu mimi tunahitaji striker kama Haaland,,na right winger kama Sancho..then ;
✓Rashford na Martial wapambanie left wing.
✓Greenwood awe backup ya right flank na pia striker.
ni wazo zuri sana ila sidhani kama linaweza kutekelezeka ndani ya dirisha moja kubwa la usajili, hao wawili thamani yao inafikia paundi millioni 190.Pale mbele kwa mtazamo wangu mimi tunahitaji striker kama Haaland,,na right winger kama Sancho..then ;
Rahim Sterling(26) carriertukiachana na ishu ya chemistry bado tuna matatizo ya mchezaji mmoja mmoja
hii safu yetu ya ushambuliaji inanipa ukakasi wa kuwa na matumaini ya kwamba msimu ujao tunaweza kugombania makombe ya ligi tofauti, hii ni kwa sababu tuna kundi kubwa la wachezaji ambao wanafanya makosa mengi ya kiuchezaji mara kwa mara pale mbele.
ukiwaangalia wachezaji wengineo si kwamba hawafanyi makosa pindi wanapocheza bali makosa yao mara nyingi huwa ni machache yanayoweza kufichika kwa mazuri wanayoyafanya. Kwa mfano hao jamii ya haaland, salah na mbappe si kwamba hawakosei kwa kila maamuzi wanayoyafanya ila kama wangelikuwa na makosa mengi kama ya rashford, greenwood na martial wasingelikuwa na jeuri ya kufunga magoli 34 kwenye mechi 37.
lakini ukija kwetu sisi mfano ni mara ngapi unashuhudia marcus rashford anakimbia na mpira au kufanya uamuzi wa kupiga mpira eneo husika bila ya kuruhusu mawasiliano kati ya mguu wake na ubongo wake?
hapo sijamtolea mfano greenwood, martial na yule mwanariadha daniel james na cha kusikitisha tukio hilo atalirejea tena mara kwa mara mpaka unafikia hatua unajiuliza hivi hawa wachezaji wetu wanafanya mazoezi kweli huku wakiongozwa na mwalimu.
kama utaamua kuwahukumu wachezaji wetu (james, martial, rashford, greenwood) kwa kuangalia benefactions zao eneo la (assist na goals) bila ya shaka utaondoka na kauli moja tu ya "wachezaji wetu ni sehemu ya kundi la wachezaji wanaofanya vizuri sana duniani"
kama utaziangalia factors nyenginezo bila ya shaka utaondoka na kauli hii "ni bora tuanze upya kiuwekezaji eneo la safu ya ushambuliaji na hawa waliopo wawe backup".
kwa kuwa Ole ameonekana kushindwa kuwapika na kuwakaripia hao vijana na kuwa na makali kama haya tunayoyashuhudia kwa wachezaji wengine mfano sterling au forden, mimi napendekeza tuanze upya kiuwekezaji kwenye safu ya ushambuliaji kwa sababu hawa waliopo hawanipi matumaini ya kuwa siku moja watakuwa na viwango visivyobadilika
ina maana kwenye mechi takribani 330 washambuliaji wetu muhimu kwa pamoja wamefunga magoli 110, Je wenzangu bado muna imani na hawa wanadamu?
- leo hii marcus rashford ana magoli 54 kwenye mechi 172 za ligi kuu ndani ya misimu takribani 6, kama utetezi wake ni kucheza pembeni basi hata mbappe na salah wanacheza pembeni na wana takwimu nzuri za magoli na assist zaidi ya marcus.
- antony martial ana magoli 56 kwenye mechi 167 naye amecheza takribani misimu 6 ya ligi kuu
Rahim Sterling(26) carrier
Mp 285, G 95 A 50
Marcus Rashford(23) carrier
Mp 172, G 54 A 28
Ukiangalia hizo stats hao wawili utofauti wao ni ni mdogo.
Ila tusisahau
Mmoja amecheza kwenye timu ambayo ni mabigwa wa EPL msimu wa 2017/18 na 2018/19, na runner up wa msimu 2019/20.
Na mabingwa watarajiwa msimu 2020/21.
Hivi Facundo ameishia wapi?