Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Siku Hanibal Mejbir atakapopewa first debut hata Bruno tutamsahau.2022/2023 endapo kocha mkuu ataendelea kuwa ni Ole gunnar solskjaer tutegemee mabadiliko haya ndani ya kikosi cha kwanza
Nje
nemanja matic na fred
Ndani
James Garner: likumbuke jina la huyu kijana anayeufanya mpira uonekana kama ni mchezo rahisi sana haijalishi unacheza eneo la CDM. waheshimiwa mukiwa na muda muwe munamfuatilia huyu bwana pale nottingham forest.
View attachment 1746239
Man United ya leo inakikosi kikubwa ila bado haijachanganywa vizuri kama United ingekuwa chini ya Arsene Wenger huenda asingesajili mchezaji yoyote dirisha hili maana watu wakuwatumia anavyotaka wapo.
Kuna kipindi Arsene Wenger alikuwa anapata matokeo huku beki wa kati akiwa Johan Djallouh