kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Mkiambiwa hamna akili mnabisha. Pogba ni mzima?Hapo De Gea mmemwonea
Ederson hawezi mweka benchi De Gea
Middle ilitakiwa Rodri,Bruno Fernandez na Pogba
Mkiambiwa hamna akili mnabisha. Pogba ni mzima?Hapo De Gea mmemwonea
Ederson hawezi mweka benchi De Gea
Middle ilitakiwa Rodri,Bruno Fernandez na Pogba
Pogba>kdb![]()
Alafu unajiita mster mind wa maujinga labdaHapo De Gea mmemwonea
Ederson hawezi mweka benchi De Gea
Middle ilitakiwa Rodri,Bruno Fernandez na Pogba
Mkiambiwa hamna akili mnabisha. Pogba ni mzima?
Kwa haya maelezo yako,nitake radhi mana kuna kipindi tulicheza kama sikosei na Wolves tukashinda na baada ya mchezo nikatoa maoni yangu juu ya ubingwa ulipinga na kuniita mjinga. Naona Leo umejiunga na kundi langu la ujinga. Sasa wewe unaweza kuwa mjinga zaidi yangu!Mambo vipi wadau?
Kitambo sijachungulia humu, hii inatokana na pilika za kimaisha ukizingatia kazi zenyewe ni ngumu na usipofanya hakuna kula wala pesa ya bando utaisikia kwenye bomba.
Duh, sio poa mwenzenu nishakata tamaa ya kutwaa upingwa wa EPL, sikutegemea kama Palace angetushika shati mara ya pili.
Sijui tatizo liko wapi? Nani wa kumuangushia jumba bovu, wachezaji ama benchi la ufundi.
Ila ninacho weza sema "kutesa kwa zamu" wenda zamu yetu ilisha pita hivyo tusubilie awamu nyingine sijui ni mwaka gani?
Ha ha ha ha ha duuuu umechafukwa sana. Ofcorse hata Mimi siamini kama man u wana hela ya kumnunua mtu Wa hivi!Naangalia game ya Dortmund na Bayern ...huyu Halland ni kama kuna mizimu inamuongoza hivi, goal machine, na nasema sisi man u hatuwezi kumchukua hata kwa dawa.. Sisi Tuendelee kukalisha mapumbu yetu mazito na manene na akina wapuuzi rashford na wengineo tuendelee kusindikiza timu zingine kwenye ubingwa.
Man city nimefungwa na naniNyie ndio mana mnafungwa fungwa hovyo!
Nimeelewa vibayaMan city nimefungwa na nani
Mbinu zinakopiwa mdau na sio soka ili aweze kumaintain epl halafu anaongezea vitu vyake....Mhhh! Mpira wa Ferguson na Pep upo tofaut sana, ule mpira wa OGS ndio mpira wa Ferguson, Jamaa kakop kila kitu kwa babu fergie
Wewe ni zero kichwaniMbinu zinakopiwa mdau na sio soka ili aweze kumaintain epl halafu anaongezea vitu vyake....
Umenikumbusha ile comeback ya 3-2 na bado jamaa akanyanyua makwapa....Kumfunga man City kutamzuia kutwaa ubingwa ?
Wanajifanya wamesahau fergie alivyokuwa anatetemeka Kama kuku mwenye kideri mpaka Pete ikadondoka kidoleni we unachez na pep guardiolaCD gani alizo mdharirisha fainali 2011 au?
😂😂😂 waache wajitoe ufahamu tuu ni mwendo wa ukuni tuuNyie manyumbu leo mtachezea ukuni kila mtu analijua hilo.