Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,026
Aisee Chief, hauoni kuwa hapo umei-downgrade sana timu yako. Yaani back to back top four finish ndiyo yawe mafanikio kwa timu kama United! Duh, kwamba dunia inakimbia kasi kiasi hicho. Kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa yule kocha wenu aliyewahi kusema 2018 kuwa malengo yenu wakati ule yalikuwa sawa na Everton!Kwa kocha mpya kuja na kufika nusu fainali hio Pia ni achievement, Ole akiingia top 4 msimu huu atakuwa ni kocha wa kwanza kuingia top 4 back to back toka Fergie astaafu.
Niliwahi kusema huko nyuma na nitasema Tena sasa hivi hata Ole asipo chukua ubingwa bado atakuwa ni successfull na atatuacha eneo zuri ili mwengine apokee kijiti.
Jamaa ametatua almost 90% ya matatizo yote ya zamani na sasa hivi tunaanza ku dream Tena.
Kwenye Arsenal wamekosea kidogo ila kwa timu yangu hiyo ndiyo nafasi yake baada ya mechi ya mwisho; namba 3/4Arsenal na spurs ni Top 6? Au unazungumzia History? Mnakalili sana, Top 6 ninayoijua mm ni hiyo hapoView attachment 1716547
Uje ubongo wa kuweza kupambana na pep na klopp......kuhusu kocha mwenye huo ubongo mimi simjui ila wazo langu ndio iloUnfortunately wewe ni katika minority, majority ya mashabiki wa man U bado wanamuhitaji na board Pia inamuhitaji.
Swali la kizushi tu nani aje akiondoka yeye? Na kwa nini?
Ndio ujue maisha yanaenda kasi sana leo raia zinafurahia kuingia top four mi najiuliza tu hii crisis tunayopitia si ndio madrid anapitia kipindi hiki lakini mbona perfomance yao ipo pale pale sisi wapi tulikosea.....ina maana hatukujiandaa kuachana na babu kipindi kileAisee Chief, hauoni kuwa hapo umei-downgrade sana timu yako. Yaani back to back top four finish ndiyo yawe mafanikio kwa timu kama United! Duh, kwamba dunia inakimbia kasi kiasi hicho. Kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa yule kocha wenu aliyewahi kusema 2018 kuwa malengo yenu wakati ule yalikuwa sawa na Everton!
Mimi nadhani zile timu traditional top six (ukiacha Arsenal) zinapaswa kuita mafanikio pale zinapochukua kikombe. Au walau kutinga fainali. Top four finish ni mafanikio kwa emerging teams kama Leicester, Everton, Wolves, Villa na akina West ham.
Nyie msilete visingizio, kipimo chenu ubingwa. Sisi tunaanza na Europa na Karagabaho kisha msimu ujao kocha wetu tutamwomba tena aende na kale karedio kwenye press conference.
Sisi timu yetu ina clear path ambayo Ole ameiweka na tunaifuata hio path na so far tupo mahala pazuri.Aisee Chief, hauoni kuwa hapo umei-downgrade sana timu yako. Yaani back to back top four finish ndiyo yawe mafanikio kwa timu kama United! Duh, kwamba dunia inakimbia kasi kiasi hicho. Kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa yule kocha wenu aliyewahi kusema 2018 kuwa malengo yenu wakati ule yalikuwa sawa na Everton!
Mimi nadhani zile timu traditional top six (ukiacha Arsenal) zinapaswa kuita mafanikio pale zinapochukua kikombe. Au walau kutinga fainali. Top four finish ni mafanikio kwa emerging teams kama Leicester, Everton, Wolves, Villa na akina West ham.
Nyie msilete visingizio, kipimo chenu ubingwa. Sisi tunaanza na Europa na Karagabaho kisha msimu ujao kocha wetu tutamwomba tena aende na kale karedio kwenye press conference.
Sababu Spain hakuna ushindani, hata barca na Madrid ziwe mbovu vipi ngumu kutoka top 4.Ndio ujue maisha yanaenda kasi sana leo raia zinafurahia kuingia top four mi najiuliza tu hii crisis tunayopitia si ndio madrid anapitia kipindi hiki lakini mbona perfomance yao ipo pale pale sisi wapi tulikosea.....ina maana hatukujiandaa kuachana na babu kipindi kile
Unajua kama mzaha mzaha tu ten years hii hapa bila ubingwa wa epl
[emoji23] [emoji23] [emoji23]GGMU..
Leo tunavaa uzi wetu wa "pundamilia"
Siku nikikupa mimba ndio nitafungiwa mpenziHivi wewe boya kwanini hufungiwi!
Tatizo Rashford mchoyo sana kwa wenzake. Crystal Palace wametuzoea sana. Game ya kwanza walitupiga 3. Hapa wachezaji wetu wanarukaruka tu. Sioni dalili za ushindi. Kama nammiss Pogba vile maana kuna nyakati aliibeba sana team.Shaw na rashford wanatengeneza uelewano mzuri sana
Mbao ya kijani sijui inafanya nini mpaka muda huu. Hivi James sijui yupo wapiTunaenda dakika ya 70 hatuna sub hata moja
Hehehehehh what a coach!!
James kaingiaMbao ya kijani sijui inafanya nini mpaka muda huu. Hivi James sijui yupo wapi