D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
James can run non stop for days but just doesn`t have the quality when he gets the ball.
Kiungo je?..si ndo hitaji lako kubwa hilo?ana mkataba wa miaka 2.
kuwa mvumilivu, tupo kwenye muelekeo bora.
dirisha lijalo tutasajili wachezaji watatu wenye ubora then tunakuwa tittle contender
- no striker, cavan anapewa mkataba mwengine
- jack grealish
- sancho
- beki wa kati mwenye umri mdogo, Ole hayupo tayari kumuacha lindelof na maguire
Lazima ukubali kuwa ugumu ungekuwepo wa kiwango cha juu kabisa..sasa hivi timu zimeimarika,inabidi uwe vizuri kweli..mfano msimu wa 2012/2013 hatukuwa hata vizuri lakini tulibeba ligi(leave aside RVP effect)..nowdays kuna big six na ukiingia kichwa kichwa kwa kudhani wewe ni mkubwa lazima uchezee.Usijidanganye ndugu fergie alikuwa anaweza kushindana na timu yoyote ile hadi sasa. Em fikiria alichoamua kufanya mwishoni aliwamotivate tom cleverly na carrick kujiona Xavi na Iniesta halafu akawa mbele ana magame changer rooney na mwenzie Van Persie. Sometimes huhitaji kikosi kikubwa sana kushinda mataji. unatak kunambia henderson na wijnadium wana maajabu gani sana mpaka wakabeba kwa gap la rekodi. Klop ananikumbusha sana fergie times motivate wachezaji wa kawaida kucheza role flani halafu sajili magame changer then boom.
hitaji langu ila si la mwalimu.Kiungo je?..si ndo hitaji lako kubwa hilo?
muongeze na michael carrick alikuwa onfireLazima ukubali kuwa ugumu ungekuwepo wa kiwango cha juu kabisa..sasa hivi timu zimeimarika,inabidi uwe vizuri kweli..mfano msimu wa 2012/2013 hatukuwa hata vizuri lakini tulibeba ligi(leave aside RVP effect)..nowdays kuna big six na ukiingia kichwa kichwa kwa kudhani wewe ni mkubwa lazima uchezee.
Yaan watu wanasahau mno wanalilia penalty wamesahau Hilo tukio la kabali ya Maguire....au Ile ya msimu uliopita anamkanyaga batshuayi kwenye mbupuAngekua Antony Taylor au yule mpuuzi alotishiwa maisha Mike dean hii game mngeshinda. Wao ndio hua hawaoni haya kuonesha mahaba ya waziwazi kwenu.
Chri Cavanagh was fair mno.View attachment 1714524
Sawa ila Man City Ya Manchini Ilikuwa ni bora kwa kikosi kuliko hii ya sahivi. Ferguson alikuwa anaweza kucheza era yoyote ile ya mpira kama unakumbuka ni hichi kipindi tunatolewa uefa kwa hujuma za refa na madrid ya morinho. Point tulimaliza na 89 mtu wa pili man city 78. Maan ake ingetokea ushindani zaidi mzee angepandisha level zaidi alikuwa na tools. Kikosi cha Man U ule msimu kina fanana na liver asilimia kubwa. Viungo wa kawaida ila waliokuwa motivated na magame changer kama walivo mane na salah kule n rooney na van persie na louis nani alikuwa form kiasi.Lazima ukubali kuwa ugumu ungekuwepo wa kiwango cha juu kabisa..sasa hivi timu zimeimarika,inabidi uwe vizuri kweli..mfano msimu wa 2012/2013 hatukuwa hata vizuri lakini tulibeba ligi(leave aside RVP effect)..nowdays kuna big six na ukiingia kichwa kichwa kwa kudhani wewe ni mkubwa lazima uchezee.
Ni kweli kuwa United walim-raid Pep kwenye ishu ya Fred. Na Fred ni mchezaji mzuri kwa timu zote mbili ila ilichohitaji United kwa wakati ule ni mchezaji wa kiwango cha juu kuweza kuziba "pengo" la Pogba kama ambavyo Bruno amekuja kufanya.Fred
point yangu ni kuw pep guardiola nd alimtaka fred ila morinho alifanya mbinu ili amuharibie mwenzie sio kwamba alimuhitaji kwa matumizi yake. Kma alivofanya kwa sanchez maan cty nd walikuwa na nafasi kubwa na ilidhihirika maan tunmjua sanchez timu alizocheza morinho asingeiweza falsafa yao. ko point yangu kama pep alimtaka fred kwahyo usidhani wachezaji wa cty kwamba wa ajabu sana ila wana kocha bor.
tukimfunga man city tunarudi rasmi kwenye mbio za ubingwa
mpira ni dakika 90, huenda tukajinasua na jinamizi la kushindwa kupata ushindi dhidi ya top 6Ushindwe kumfunga Arse8 na Cheltako uje umfunge Man shity kupata vichekesho kama hivi tunabonyeza ngapi
Huu upuuzi hatuwezi kuufanya kamwe.Wakuu suala la kumuuza Fernandez Bruno ili tumchukue fundi wa kiingereza Dany Drinkwater imekaaje?
PossibleUshindwe kumfunga Arse8 na Cheltako uje umfunge Man shity kupata vichekesho kama hivi tunabonyeza ngapi
Akiendelea hivyo makombe atayasikia tuhitaji langu ila si la mwalimu.
nilichojifunza kutoka kwa Ole
- anawaamini sana lindelof na maguire, kama atasajiliwa mlinzi wa kati atakuwa na shughuli pevu sana ya kuingia kikosi cha kwanza
- bado ana imani na pogba, kukosekana kwake ataendelea na mabwana wawili fred scott. Pia upo uwezekano wa kurudishwa kwa garner na levitt
- bado ana imani na martial, kumkataa martial ni kujikataa yeye mwenyewe, tukumbuke bwana mkubwa aliidhinisha kuuzwa kwa romelu lukaku, siyo tu kuuzwa pia alimbadilisha nafasi kutoka namba 9 hadi 7 kabla ya kuuzwa kwake(alitakaa atokee pembeni)
- tusubirie dirisha lijalo, pengine kombe la euro linaweza kutupa wachezaji tusio wafahamu
Ole anaweza sajili kila aina ya mchezaji unaye mjua na bado tukaishia nafasi ya 4 hakuna kocha kabisa pale MkuuLakini uliona jinsi Bruno kila akipata mpira hao kina Kovacic walikuwa wanakifanya ?
Nafikri Ole anatakiwa kusajili Central Midfielder mzuri zaidi ili kuwezesha timu iwe na ball retention nzuri.
Lakini pia apunguze uoga hao kina Fred na Scot wawe wana advance juu zaidi au mmojawapo kuipa balance attacking yetu.
Siyo kila wanapobanwa washambuliaji wetu warudishe mpira beyond